Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

msisitizo/emphasize :
ujumbe kwa wale ma-jobless na wakora wa nairobi:

nimewachapa bakora nyingi sana za kushtukiza kuanzia page ya 4039 - 4040.

kwa anayetaka kuamsha maumivu,apitie hizo page.

NB:
leo tupo busy site,tunajenga nyumba zetu binafsi za kuishi....hatutaki porojo wala makelele.

msisahau kuleta picha za mafundi wanaojenga pinnacle tower...tuone vile "wanakuwanga" wakiwa site.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
wale "wasee" wanaotoka katika ile nchi inayokumbwa na uhaba wa sembe,wakiona hii picha lazima watakasirika.

anyway....nilikuwa shambani kwangu leo,nimevuna kiasi.
 
Angalieni tu magari randomly barabarani.
"wasee" be like...hizo gari katika picha ni gari kubwa sana kuendeshwa/kumilikiwa na watz...bila shaka zitakuwa zinaendeshwa/kumilikiwa na wakenya..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Fellow Kenyans mmeleta ufisi huku....hahaha. people be like "babe kuna wakora wengi sahii uwezi pita hiyo njia unaweza tumia bed yangu"


Hahahaha,El Matador,utaacha za ovyo huyo boy me namchocha ,kwanza me sio team mafisi kuna dish mob tu yani hapa home ,,kwanza ye ni chali nikumchocha tu brather .
 
construction of private houses in dar es salaam:

dar es salaam is transforming
very fast.

apart from tall buildings,malls and apartments,new private houses are being built almost everyday while the older ones are renovated.

these transformations lead to the growth and sustainability of our construction sector.

NB:
we use cement bricks not stones like kenya (many houses in nairobi are built by stone bricks).

photos.
hapa kazi tu..tupo site "msee".
 
Leo umemkubali naona
i have no problem with people who do good music...he killed it in this one....the track is ill,that's why i like it.

bado khaligraph sio mwanamuziki wa kutisha...ni ile black american accent ndio inambeba...itamchukua mda mrefu kufika level ya fid q.

sikiliza punchlines za fid then linganisha na khaligraph.
 
Jamaa kanionesha sehem wanajenga montave bro nimecheka mpaka mbavu zimeniumaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…