Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Your browser is not able to display this video.

Ilo ni daraja la busisi moja ya madaraja marefu kuwai kutokea africa lipo TZ uwiiiiiiii mbona BONGO TAMUUU sana
 
me naona mwanz amewatoa jasho wakunya tawaonyesha jiji lingine ili wajue tanzania sio ya kushindana nayo
 
usiku mwema wakunya nawaacha na kibwagizo...
Don YF 😂😂 habari unayo, hii sio mombasa ya nyumba chakavu all over brathee .. Mwanza is the second most developed city along lake Victoria, and the second biggest city in Tz .. hakuna uchafu hapo kwenu wa kukaa league ya mwanza. At least hii video imeonyesha somehow venye CBD inafaa kuwa kwa hizo what you call them cities zenu Kando ya NAIROBI 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…