Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Domestic Market ya Tz iko vizuri sana..
Inagwa tumeorder 737 Max 9 2 ..i think na zenyewe zitasaidia sana kwenye domestic route some days ..

Musoma ,Shinyanga , Iringa , Tanga...coming soon At least Q400 ziwe zinaenda ..Iringa ilikuwa zinaenda ila naona wamefunga airport for Rehab

I think ATC should place orders for more Q400s

and TAA should make sure most airports can operate day and night for better frequencies
 
Kwani nani kakuambia zilizopo ziko exhausted? Tununue tu Q400 wakati zilizopo haziko used to the capacity? Mi najiuliza kwanini uwanja wa Songwe zaidi ya miaka 10 haujakamilika kuruhusu flights kutoka SADC countries?

Plan iliyopo kwa sasa ni ya Air Tanzania kuwa na intercontinental aircraft (dreamliners n A350s) kutokana na mpango wa kwenda UK na baadae US! Dreamliner tatu zilizopo moaka 2023 hazitoshi ikiwa route ya Guangzhou inatarajiwa kuongeza frequency kama ya India! Pia kuna route za West Africa pia ambazo zitahitaji medium size aircraft kama Boeing 737 MAX 9s au A220-300.

Q400 zilizopo na inayokuja hazijazidiwa mpaka sasa! Unless unataka ziende ku-park! BTW hiyo route ya Songwe tu sidhani kama Airbus A220-300 itakuwa inaenda kila siku labda kama Songwe International Airport ingekuwa na regional flights kama ilivyokusudiwa wakati uwanja unajengwa!
 
They hate facts. Mtanzania heri umwambie a sweet lie hapo mtasikizana
 
Differentiate between a bridge and a culvert. Kwanza in that picture nimeona only 5 lanes.
You must be blind to see 8 lanes, sijui hao bacteria huwa unawachunguliaje. Besides yours also is not a bridge but a causeway.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…