Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama kuna kima kutoka Tanzania a post makazi ya raiya wa kawaida wa Tanzania wa Dar kwa urefu na upana in such 👇 👇 👇 👇 standards nahama Jamii forums leo hii!!..,
Tofauti ya Kenya na Tanzania ni kubwa sana😂😂😂😂😂😂




Dar is slum.., makazi ya kawaida tu..,
 
Kama ungetumia japo nusu ya nguvu mnazotumia kujitetea ili kuficha aibu ya njaa na vifo vinavyosababishwa na njaa, Kenya Inge epuka aibu ya kuwa tegemezi kwa nchi za UAE kwa akili ya chakula cha misaada

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini huwa mnashindia hili jambo moja la njaa? Ni kwa sababu tumewapiga kwenye mambo mengine yote sio?
Kwasababu chakula ndio kitu muhimu zaidi kwa binadamu, kinadhalilisha utu wa binadamu, hakuna kipimo cha chini kabisa cha kupima Utu na utajiri wa binadamu kuliko chakula.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Porojo tena.., penda ukweli, sio dhambi., chunguza mambo kwa ufasaha sio kuandika ili ujifurahishe, I know u, Kenya being above u licha ya our challenges is painful to behold, ila utanyooka tu😂 😂 😂 😂 😂 😂
 

With their low purchasing power, the vast majority of Bongolala cannot afford WiFi. In fact, Fiber/WiFi is non-existent in most of the country.
Kazi yao ni 'bando'.

Last year Zuchu also posted her YouTube stats. Kenya leading by far.

If I was to guess the amount of bandwidth Kenyans consume streaming on YouTube, Netflix, TikTok etc. I would say its at least 5 times what Tanzania spends.
 
If dying of hunger, unable to get three meals a day, living in slums, unable to get enough water and depending on food donations is what makes you to be ahead of us, then we want you to be ahead of us forever[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…