Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Copy pasting at its best.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Woow why that thought? Actually I copied it from my brain
 
Magari mnayoagiza ni bakuli. Nyumba mnazojenga ni za uswazi. Wewe tembeza kiatu
Ukhe khe khe ndugu yako alileta range rover 2022 moja mm nikamuonesha tatu akaanza kutoa povu sijui dealers sijui mavi ya bata πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Acha hasira sasa mm sijavaa kiatu πŸ˜€πŸ˜€
 
Wakunya kweli ni waongo sana wanakwambia wao EAC ndo wanaongoza kwa kutumia internet lakini timu zao hazipo
Wakenya wengi tunapenda riadha na rugby kwa sababu hizo ndizo tunafaulu zaidi. Mimi kwa mfano ni fanatic wa athletics ile mbaya. Olympics, World athletics championships lazima nizitazame. Kwenye athletics isipokuwa USA, hakuna nchi nyingine duniani inayoweza kuishinda Kenya. Kitu kingine ni kuwa football clubs za Kenya zinakuwa run vibaya sana kupitia corruption na mismanagement. Akina Gor mahia, AFC Leopard zinakuwa run vibaya.
 
Is thqt official source πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hvi ww unafkiri watanzania hujionesha nani alijua kama tanzania kuna range ya 2022 katika nyie kuna mtu alijua ??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ si alikuja ndugu yako na mbwembwe hapa akuonesha range ya 2022 akijua iko moja tu kenya kumbe tanzania zilko zaidi ya tatu na bado kuna watu hawajioneshi πŸ˜€πŸ˜€
 
Enhh yamekua hayo nyinyi mlitoka lini ilihali bado njaa inawamaliza failed state ever πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii hasira yote kwa sababu mnaagiza bakuli kama magari? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukhe khe khe ndugu yako alileta range rover 2022 moja mm nikamuonesha tatu akaanza kutoa povu sijui dealers sijui mavi ya bata πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Acha hasira sasa mm sijavaa kiatu πŸ˜€πŸ˜€
Tatu zako au za mitandaoni?
 
Hii hasira yote kwa sababu mnaagiza bakuli kama magari? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hayo ni maneno ya mtu and sio official source πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nashangaa munashangilia ujingq ilihali leo munatoa povu kuona range zipo za 2022
 
Hakuna mzungu alijenga reli eti Kwa ku bet kutegemea uchumi wa Nchi jirani..

Pia hakuna mzungu alijenga reli eti akitegemea kwamba uchumi utakua Ndio reli ije kupata mzigo..

Wazungu waliandaa uchumi kwanza Ndio zikafuata reli sio kama maujinga yanayofanywa na Nchi za kiafrika kwa kujenga reli mapambo kwa mabilioni huku wakibet..

Reli huwa hazistimulate Uchumi hata siku moja..Ningekuwa mimi ningetandika barabara Mijini na Vijijini zichichee uchumi then ndio nijenge reli maana nitakuwa na bulk.
 
Tatu zako au za mitandaoni?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ ngoja niondoke usije rusha ngumi bure
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hayo ni maneno ya mtu and sio official source πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nashangaa munashangilia ujingq ilihali leo munatoa povu kuona range zipo za 2022
Get to the top of mount Kilimanjaro and shout at the top of your voice πŸ˜‚
 
Get to the top of mount Kilimanjaro and shout at the top of your voice πŸ˜‚
Mwenzako alikimbia kwa aibu mwishoe akarudi na id nyingine mpaka sasa hvi anaogopa hata kunitag πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni wewe au kuna mtu kakuandikia ....
Nlijua utasema anaupiga mwingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…