joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
What is the % of that 9M tonnes to total cargo through Mombasa vs 7M tonnes to the total cargo goes through Dar port?.
Hii ni cargo ship, can't compare between cargo vehicle vs Passenger vehicle.Unaleta article ya 2019 wakati MV UHURU II imeanza kujengwa 2021, is your brain really helping you?[emoji23][emoji23][emoji23]
Numbers za weight bridges ndio utachoka 😂😂😂😂Ile cku niligundua idadi ya petrol station Kunyaland haikaribii hata kidogo idadi ya petrol station Tz ndio cku niliyojuwa kwamba hatushikiki kabisa kwenye suala la magari.
Ujue US wanachukulia juu juu mambo,eanahisi wameijua china kiundani[emoji1787][emoji1787][emoji1787] China inaweza kuisambaratisha US na dunia ikashangaa
Keshapagawa huyo mtumbua mishipa.Hii ni MV Mwanza.?
Ni zaidi ya ushuzi mkuu.Mmh Nairobi na kenya kwa ujumla ni kinyaaa aisee
Hamna kitu china waoga sana yan sana bora hata kiduku[emoji1787][emoji1787][emoji1787] China inaweza kuisambaratisha US na dunia ikashangaa
Hiyo yenu mv uhuru II ni wagon ferry yetu ni proper ship.MV Mwanza ambayo huwa unatusumbua nayo hapa inabeba only 400 tonnes of cargo. Wakati MV Uhuru I inabeba 1,200 tonnes of cargo na MV Uhuru II inabeba 1,800 tonnes of cargo. Siku nyingine usirudie kupost picha ya MV Mwanza huku.
Tanzania: MV Mwanza Project Now Reaches 25 Pc
CONSTRUCTION of the state-of-the art ship has now reached 25 per cent, with overall supervisor, Engineer Abel Gwanafyo of Marine Services Company Limited (MSCL) asserting that the modern vessel will be in operation next September.allafrica.com
Endelea kuotaHamna kitu china waoga sana yan sana bora hata kiduku
Mnapenda kujidanganya sana eti Kenya among the only 3 countries that manufacture ships in Africa behind South Africa and Egypt [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Hii ni US aircraft carrier under construction. Kutu ni kitu cha kawaida kwa meli ambayo ipo under construction.
View attachment 2312241
Hiyo yenu ni wagon ferry sio ship acha ujinga.Hii meli sio ya kitoto. Inabeba 1,800 tonnes of cargo. It is the biggest cargo ship in lake Victoria. Huo ndio ukweli mchungu kwa Watanzania wasioitakia Kenya mazuri. Ile meli ya Mwanza ambayo huwa unapenda kuisifia inabeba tonnes ngapi za cargo??? Hebu nikumbushe hahaha.
How can you compare wagon ferry and a ship something must be amiss upstairs [emoji848]Hahaha. MV Uhuru I with around 1,200 tonnes can carry 3× more cargo than that thing. MV Uhuru II at 1,800 tonnes can carry 4.5× more cargo. In total MV Uhuru I and II can carry 3,000 tonnes of cargo or 7.5 × more cargo than that little dwarf called MV Mwanza.
Cc Geza Ulole bado unaona kama Tanzania inaweza kucompete na Kenya kwenye usafirishaji wa mizigo lake Victoria kuelekea Uganda?
Haka sio kale ka river kachafu kanakopita nyuma ya Ikulu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2312356View attachment 2312357View attachment 2312358View attachment 2312359
today we are wrapping for eldoret
View attachment 2312487View attachment 2312489View attachment 2312490View attachment 2312491View attachment 2312492View attachment 2312493View attachment 2312494View attachment 2312495View attachment 2312496View attachment 2312497View attachment 2312498View attachment 2312499View attachment 2312500View attachment 2312501View attachment 2312502View attachment 2312503View attachment 2312504View attachment 2312505View attachment 2312506View attachment 2312507View attachment 2312508View attachment 2312509View attachment 2312510View attachment 2312511View attachment 2312512View attachment 2312513View attachment 2312514View attachment 2312515View attachment 2312516
Kwahiyo kwa hii picha MV Mwanza imeshakamilika sio
China hawezi fanya ujinga wa confrontation na US. China bado anategemea sana masoko ya magharibi kwa uchumi wake.US ikijichanganya kwa China [emoji1787] itabaki story tu
Hiyo hapo ni shoddy works bati kama la matatuu kutu fasta hayako treated[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana hiyo Mv Kutu