Dealership wewe ni mwehu kweli kununua gari ni lazma kuwe na dealership😂😂Nionyeshe dealership inayo uza hio Range Rover mpya bongo nifunge account sahii. Munanua mtumba kila kitu hadi suruali ya ndani.🤣🤣🤣
Haya funga acc mzee 😂😂😂Nionyeshe dealership inayo uza hio Range Rover mpya bongo nifunge account sahii. Munanua mtumba kila kitu hadi suruali ya ndani.🤣🤣🤣
Tanzania ni Ulaya ya AfrikaStop comparing yourselves with Europe. You are a Third World country that's just surviving. Hamjitoshelezi kwa lolote
Mukiambiwa akili zenu waliondoka nazo wazungu munalia 😂😂😂 mtu anaweza kwenda dubai au uk akanunua gari mpya na ikaletwa tanzania bila hata dealership kwanza ujifunzeichoboy01 nionyeshe Bentley Dealership in Tangangiza nifunge account sahii. 🤣🤣🤣 Hamna dealership za magari mpya na unataka kupiga kelele hapa kama kuku inataka kutaga. Fungueni hata dealership ya Subaru mupunguze aibu.
Kikwete ameenda kuwa observer kunyaland ili awapliz baada ya uchaguzi wasianze kuuanaTatizo lako uko short tempered, huwezi kukataa Tz ku host mali zote za EAC as long as ndiyo source ya chakula na amani kwa Afrika mashariki.
Hivi Tanzania inaizidi gulf kwa remittance ya kunyan?Tanzania haina mkoa wenye njaa kama Kenya 90% kuna njaa, Tz ndiyo kimbilio la Wakenya data zipo na zinasema wazi kwamba Tz ndiyo home of remittance for kenyans in Africa, just accept it and move on.
Huu uwanja unachezwa international matches lakini kule Kunyaland hamna uwanja unaruhusiwa soka la kimataifa na FIFA!Hii ndio zanzibar 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Musije kusema barcelona spain
View attachment 2311503View attachment 2311505
How i wish jamaa akaangalia uwezekano wa kuanza kujenga tankers! Ujenzi wa LNG na EACOP utaleta neema sana na inabidi aangalie upande huo! Ajenge pia modern slipway!Songoro anafanya kazi nzuri sana
yaani yeti vyenu vipo rahisi namna hii? havina hologram certificate of authenticity?