Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is BS
 
Nyie ndio munapata leo huku zipo za kumwaga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Zimekua lakini hatuna kelele.

Hio amepost ni during official launch in Nairobi. Range Rover hawana official showroom bongo so huwezi elewa. Tanzania bado ni nchi maskini hata showroom ya Subaru au Mazda huwezi pata.
 
Ngoja usikie wale majirani wavivu eti miraa inapandwa Mbeya, kazi ya Kenya ni export tu.
🀣🀣🀣

Huyo Kiwete amekuja kula mshahara tu. Hana jipya.
Akuna aliyemuita amejileta mwenyewe eti EAC observer kwani wanachama wengine walikosa ndio akuje tuna ug,rwanda,congo,ss,Burundi observers hasa nani kamwambia aje.
 
Zimekua lakini hatuna kelele.

Hio amepost ni during official launch in Nairobi. Range Rover hawana official showroom bongo so huwezi elewa. Tanzania bado ni nchi maskini hata showroom ya Subaru au Mazda huwezi pata.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ww unanionesha range moja mm nimekuonesha zaidi ya 3

Nani maskini hapo mwenye tatu au mwenye moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Zimekua lakini hatuna kelele.

Hio amepost ni during official launch in Nairobi. Range Rover hawana official showroom bongo so huwezi elewa. Tanzania bado ni nchi maskini hata showroom ya Subaru au Mazda huwezi pata.
Na hii ni velar ya 2022πŸ˜‚πŸ˜‚

Karibu mgeni, kaa ukijua vyote utakavyo post humu vimeshapostiwa kitambo so uje kwa adabu.
 
Which field of engineering to be specific,
And don’t tell me you are an architect,
Architecture is not engineering.
I am a Driver by profession.
Civil Engineering.

Only laymen confuse architecture with engineering.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…