Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yes kwani hukuona au unataka nipost tena

Unaona kama GTC inaweza kosa elevators. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wacha ushamba.
We unajielewa.? 🀣🀣🀣, hapa hatuzungumzii elevator ndani ya jengo mzee, hapa tunazungumzia footbridge yenye Iko na elevator yake enyewe ya kujitegemea kama hivi yani πŸ‘‡huko kwenu hakuna mzee.. 🀣🀣🀣 usilazimishe vitu mjomba
 
Hizi mchaka mchaka siyo poa kwa kweli
 
tunataka elevators dedicated to footbridge si za jengo!
Kumbe hata hujui vile GTC imejengwa. 🀣🀣🀣 Ghorofa zikona elevators zake kando. Anagalia hii render hapa utoe ujinga. Wabongo munakuanga washamba sana walai. 🀣🀣🀣
 
Kumbe hata hujui vile GTC imejengwa. 🀣🀣🀣 Ghorofa zikona elevators zake kando. Anagalia hii render hapa utoe ujinga. Wabongo munakuanga washamba sana walai. 🀣🀣🀣
View attachment 2309801
🀣🀣🀣🀣🀣 Umeshakula kwanza .? Isije ikawa unasumbuliwa na njaaa wewe
 
🀣🀣🀣 umekosa comeback na vile ulianza na kiherehere.
We famba Wacha kulazimishaga vitu wewe, can't you see the difference from these pictures .? πŸ‘‡hii bridge ya yenyu haina elevator usifosi 🀣🀣🀣, labda utaonyeshe ona kitu hiki πŸ‘‡footbridges zenu zinakaa hivi tu πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ hakuna elevator
 
Nimeshangaa sana wabongo wanaleta mada za kishamba sana. Hadi Nairobi Terminus SGR ikona elevator footbridge.


Kumbe hizi vitu ndio zimefika bongo sahii. 🀣🀣🀣 wabongo ni washamba sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…