Malobabrian
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 254
- 298
Kwani akila mayai liko shida wapi??[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Ila Wakunya kwenye upande wa chakula kweli mpo nyuma, haya mayai ya kuchemsha ya nini sasa? [emoji3]
Hivi vyakula vya stendi za mabasi kabisa ndio mnaweka kwenye shughuli kama hiyo? Too much inconvenience kumfanya mlaji aanze kumenya mayai instead of enjoying meals [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2309117
When making decisions on where to place the Central Bank alot of factors are being considered. Such as;Huwa hata hamko serious na EAC heri hata iende rwanda. Infact Rwanda makes alot of sense nyinyi tayari mko na EAC headquarters
Mtaua watu bure mpate dhambi msizostahili [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ngoja tuwapandishie na mikaa. Watarudi kwenye zana za mababu [emoji1787]
Kunyan ujue wanatamani EAC headquarter iwepo naiporiKila kitu cha EAC makao yake makuu yatakuwa Tz mtake msitake.
sio kanairobaa hasa, bali chisumu. anyway but we can still survive without EAC thing, even if we withdrew our membership. we can still do very well without all of youKunyan ujue wanatamani EAC headquarter iwepo naipori
wacha upumbavu wewe aliyegundua X ray mbona anajulikana!brain of such a simple man, Nikola Tesla, transformed the world, and made it a better place to live in..
View attachment 2309355
Kitaalam vipi? Tunataka kusoma hio report yao ya upuuzi ili kujua wametumia vigezo gani. Isitoshe hakuna jinsi Tanzania ambayo inahost EA headquarters pia ipewe EACB wakati Kenya na Uganda hazi-host body hata moja ya EAC. EAC court pia ipo Tanzania. Hamuwezi host bodies tatu za EAC wakati Kenya na Uganda hatu-host body hata moja ya EAC. Hapa ndio nimeanza kuona kwamba kuna siasa chafu inayochezwa nyuma ya pazia. Afadhali Kenya iondoke EAC. EAC has become a joke. EAC ni upuuzi mtupu. Upumbavu mtupu.Hii kitu imefanywa kitaalamu ila kuna watu wanalazimisha ifanyike kienyeji bila kuzingatia vigezo muhimu.
in bongoland, this is a once in a life tyme (light-year🤣) experience,EA imeweka heshima Birmingham
Huyo mwenye alishinda hio marathon ni Mganda na huo wimbo wa taifa ni wa Uganda. Unaexpect mtu kutoka republic of Lazystan kushinda marathon? Haiwezekani.in bongoland, this is a once in a life tyme (light-year🤣) experience,
👇🏽this one!..
lakini... huu ni wimbo wa taifa ya bongo kweli?
si nilidhani, wao wali copy
'Nkosi Sikelel-iafrika"
ya ndugu zao wa dhati south africa ama !!??🤔🤔🤔
View attachment 2309388
walai china imekuja sana. sasa russia sio tishio pekee wa amerikani..