Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wachana na huyo mshamba...tumewapee yeye
 
Kuilinganisha Tz na Kenya kwenye Music ni Kuidharau Tanzania
 
Alafu museme munaonewa mkiambiwa ukweli munakasirikaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
47m vs 52m lakin still bado vijana hawana ajira
 
Hahaha try to be serious bro wachina sio watu wazuri
View attachment 590206
kwa sababu yenu ndio itafikisha mizigo hizo??? lol! umesahau pia nyie mna jenga reli kupeleka mizigo kanchi kadogo ka rwanda?.mizigo za Kenya ni nyingi mara dufu kuliko ya tanzania ama rwanda.....ukiona cha mwenzako...ila hatujali, we already have a modern railway system....raia hatuna shida...
 
Alafu museme munaonewa mkiambiwa ukweli munakasirikaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
47m vs 52m lakin still bado vijana hawana ajira
View attachment 590207
ni kweli unemployment is high in Kenya but that doesn't change the fact that we are way ahead of your backward country tafta lingine nikujibu sasa hvi...
 
Kuilinganisha Tz na Kenya kwenye Music ni Kuidharau Tanzania
kulinganisha kenya na Tanzania kwenye mandeleo, uchumi na biashara ni kuidharau Kenya

Pili, Kulinganisha Nairobi na Dar ni kuidharau Nairobi ila wameshaanzisha uzi huu, sasa tufanyeje...just play along bruh!
 
Kuna vitu mpo vizuri lakini hili mmeachwa sana sana
 
Kumbuka sisi first phase tumetoa pesa yetu sio mkopo 1.2b$ kumbuka tanzania inapeleka mzigo uganda,rwanda burundi malawi zamzbia congo ,north part of mozambique,zimbabwe na comoro kazi munayo sasa hvi
Mchina sio mtu mzuriπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Naona kawatengezea gari moshi kwa bei mbaya sana
 
ni kweli unemployment is high in Kenya but that doesn't change the fact that we are way ahead of your backward country tafta lingine nikujibu sasa hvi...
Where is economy then 22.5 youth hawana ajira yani robo nzima ya kenya πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Endeleeni kupika data za economy kudanganya ulimwengu lakin sumu ya umaskini iko pale pale
Na hvi uhuru kenyatta ndio kaua uchumi wa kenya kabisaa
 
kulinganisha kenya na Tanzania kwenye mandeleo, uchumi na biashara ni kuidharau Kenya

Pili, Kulinganisha Nairobi na Dar ni kuidharau Nairobi ila wameshaanzisha uzi huu, sasa tufanyeje...just play along bruh!
Ndugu nairobi kwa dar inaingia mara 3 keep it in ur mindπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…