Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usitulazimishe tuonge kishamba kama nyie, rara badala ya lala, nyambaff [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hao wanaosema rara nao wanakosea ni makosa ya kisarufi.Tunasema lala ndio kiswahili sanifu, wanaokosea wasijumuishwe pamoja na walio sahihi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wakenya wanajenga estates na kuuzia wakenya wengine wewe unatuonyesha nyumba ya tajiri mmoja tu, watanzania weusi fikeni hizi levels muwache wivu bana ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ .,
Mpaka muziondoe hizi zilizotapakaa kunyaland yote ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…


 
Wakenya wanajenga estates na kuuzia wakenya wengine wewe unatuonyesha nyumba ya tajiri mmoja tu, watanzania weusi fikeni hizi levels muwache wivu bana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .,
Hao bodaboda wanajitambua sana, kudos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ