Ingekuwa mnatuonyesha mambo kama haya tungewaelewa.Wacha hasira na ww kama huna huna tu budaa unakosa usingizi wa bureππ
From reliable organisation [emoji16]Hello Kenya!!View attachment 2291728
mukibanwa kwenye ukweli munakua wakali y lakini?πππ
Yechuu, Demu ana upara, meno yameungua na ana ndonga ina forehead kama Bedford!.... long live the clan. mwanaume wa kibongo 'stingy'.. kisa... tz haina purchasing power
https://www.facebook.com/
S/he is not a Tanzanian cause when s/he refers anything about Tanzania s/he uses a second-person pronouns. Angalia post zake nyingi tuu.You know what? I had to look at your ID. It says you joined JF on 7th July 2020. Well, those who have been here long enough will tell you that that guy Walker255 is a Tanzanian
heb toa na skyline ya mwanza baci we compareHeheh hii ndio inafananishwa na mwanza πππ
View attachment 2291899
Ni vituko vya abunwasi pekee πππtoa skyline ya mwanza baci we compareView attachment 2291904
Hii iko at par with european standards kabisa.
Sema Mhindi moja anamiliki mabus zaidi ya 100Kampuni moja inamiliki mabus zaid ya 100
Hasira tena za nn πππSema Mhindi moja anamiliki mabus zaidi ya 100
This one should compete with Dongo kundu first before muanze kuota kushindana na Thika.Fimbo ya thika highway πππ
View attachment 2291912
View attachment 2291913
View attachment 2291914
Dongo kundu ile ya 4 lanes au??ππThis one should compete with Dongo kundu first before muanze kuota kushindana na Thika.