Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

renders ziko palepale na hakuna alieleta evidence mwenzako kapost picha nimecheka nusu kuanguka
so ndoto za alinacha zitawaua😀😀😀😀😀😀😀😀😀
nyie subirini investor avic amalize tu alaf munayamaze sasa maana hakuna jipya
 
yaani tulkua tumechoka na kuleta hizo picha.... ila bila ya kudanganya hizo project zote ulizoziona ziko tayari zinaendelea...na niliona kuwa una Iphone sijui umeshindwa kupiga search Google ama ulkua unataka tu kutuchokoza?...
 
Yanajengwa kujengwa. Wewe endelea kupost sijui Mzizima
 
sawa mzee...itakua mimi mjinga zaidi kunishinda...ama umesahau mambo ya renders.
render ipi,hii?...[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Montave

Avic International

[/QUOTE]

 
render ipi,hii?...[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Montave

Avic International


[/QUOTE]
yap hiyo...unataka nikulete progress ya hizo renders? yaani umejipiga risasi miguuni...heri ungeleta renders zingine...project zote hizo ziko mbioni...
 
yaani tulkua tumechoka na kuleta hizo picha.... ila bila ya kudanganya hizo project zote ulizoziona ziko tayari zinaendelea...na niliona kuwa una Iphone sijui umeshindwa kupiga search Google ama ulkua unataka tu kutuchokoza?...
Hao hawana ata plans bana. wanaongea na machungu
 
ila kwasababu actions speak louder wacha nijitume niwaletee progress report...
avic hii hapa
 
mbona mnahangaika sana?.[emoji23] [emoji23]
nilijua tu ni utani wenu nyie wabongo...kumbe ni hoja hukuwa nayo...ndio ukaanzza kuimba imba renders ...haya basi next time dont compare dar to the mighty Nairobi..ama utaluletea barabara za murram
 
mwingine baada ya kukosa hoja akaanza kuwaomba watu walete picha za simu zao ili ahakikishe ni Iphone7..
 
kwa kuwa wakenya mnapenda sana render images, nawaletea render za NHC(national housing corporation of tanzania).

bila shaka zitachangamsha nafsi zenu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…