Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndiyo maana nkacheka sn alipoleta nyumba ya $1ml, hivi hawa hawajajua kwnn WB ili rank Dar real estate more expensive than that of ka Nairobi?

Ona sasa nyumba ya gharama zaidi hapo Karen imepitwa ten times na nyumba ya sehemu fulani bongo na bado hyo ya bongo ya $10ml co the most expensive house [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
The last pic [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Do you have any proof bongolala?
Kapagawa maamaeee[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We tafuta google mwenyewe ujionee
Analia, eti kaweka nyumba ya $1ml ndio ya thamani zaidi kwenye estate zao alafu anaongea kabisa "Tz nzima hakuna" kaletewa analia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] We jamaa ni mbishi sana sijui una shida gani .. nikikwambia huu ni usiku sitaki nikukoseshe amani, ona sasa [emoji116] .
Sio mbishi huyo ni mshamba eti analingishia Tz nyumba ya $1ml wkt huku ni bei ya kiwanja, now wataelewa why WB ranks Dar real estate more expensive than that of ka Nairobi by far [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]
 
We ni mlevi huwa ckupi air time.
 
We ni mlevi huwa ckupi air time.
ila nimekudaka leo wee bro wangu mdogo pamoja na couzin wako ichoboy01. hivi maghorofo dar ni funyu sana. nairobi reduces dar to nothing.!

if u didn't know, now u know.. make date ya leo 27thjune22 😜😜😜 🤪🤪🤪
 
Hawa jamaa wakizungumzia Karen utasema ni mahali pazuri sana kumbe ndio kuko hivyo dah kweli wanajua kujisifia sana hawa watu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nyie mko strong kwenye retail banking tuu ila sisi strength yetu ni kwenye corporate banking.
Sisi tupo strong kwenye kila sector ya banking iwe retail au corporate au whatever. Ndio maana banks zetu zipo katika kila nchi ukanda huu.
 
Hawa jamaa wakizungumzia Karen utasema ni mahali pazuri sana kumbe ndio kuko hivyo dah kweli wanajua kujisifia sana hawa watu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie wacheni ujinga. Karen ndipo Raila, Ruto, Kalonzo na wanasiasa wakubwa wanapoishi hapa Nairobi. Unadhani wanasiasa wa Kenya na jinsi wanavyojipenda na pia jinsi ni wabinafsi wanaweza kuishi katika mazingira mabovu? Watu ambao wanamiliki helicopters wanawezaje kuishi katika mazingira mabaya? Hawa wanasiasa wa Kenya ni dollar millionaires. Aisee ukisikia neno "Karen" wewe kaa kimya tu, sio lazima ulete battle kwenye kila kitu.
Cc Sama boy 255
 

Hakuna maasai alifukuzwa mau forest ni kipsigis.
 
Hiyo picha haijanivutia inafanana na Shanty Town Moshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…