Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Umepost hotels, mpaka bandari Duh kweli noma, nikiweka hotels za Zanzibar battle si utaikimbia hii?
Fuatilia thread, I didn't post those pictures za Nyali in response to anything Zanzibar. it was in response to your fellow who posted a picture of Oysterbay claiming there's no such estate in Kenya. in response, I told him to compare that neighbourhood aliypost na Nyali ya Mombasa.

Alafu ni bandari ipi iko kwa hizo picha nimepost bongolala?
And then hutaki niweke mahoteli kwa nini wakati zipo Nyali?
And, are these ones hotels?

Wewe nenda ukalale, you've excused yourself enough!
 
Unatutisha na nyumba moja moja kama njugu karanga. 🀣 🀣 🀣



 
Unatutisha na nyumba moja moja kama njugu karanga. 🀣 🀣 🀣



Plus, he can't even prove those prices he's quoting. Mimi ile ya Karen there's even a Realtor video of it I can post here
 
Plus, he can't even prove those prices he's quoting. Mimi ile ya Karen there's even a Realtor video of it I can post here
Pitia hapa πŸ‘‡ alafu nikikwambia mombasa itangoja sana kwa Zanzibar uwe unaelewa pia sio tu hotels na kila kitu imagine nyumba yenye Iko worth 10 million US dollars zipo zaidi ya tano na zingine underway, into which hapo Nairobi hakuna nyumba yenye thamani kiasi hiki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ We jamaa ni mbishi sana sijui una shida gani .. nikikwambia huu ni usiku sitaki nikukoseshe amani, ona sasa πŸ‘‡ .
Bye usiku mwema
 
Mzee numba za hivi Duh ni nyingi mno, kitu mnatushindaga ni zile shule zenu tu ila huku hutoboi I'm telling you
Kama ziko mingi mbona hamna estates za hizo nyumba? Ukinionyehsa nyumba ikona man-made waterfall in Tanzania nitafunga hii account. 🀣🀣🀣



 
Vs...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2273602View attachment 2273603
hivi The best 007 na ichoboy01, wamekua waki insist kila siku kua Dar ni concrete jungle zaidi shinda nairoba..
nb: but infact in the real sense, all the tall buildings in dareslaam are easily countable, whereas for nairobi u just can't !

Infotrak 2021 Building Censors.
All the tall Building Structures that stand atleast 15storeys and above in nairobi and dar es salaam..
This were the findings:

Posta -- 98 storeys.
Kariakoo-- 152 storeys.
Morroco-- 23 storeys.
Miscellenous incld. ubungo+Ilala+Upanga-- 57 storeys.
Thats a total of 330 Tall Buildings in Dar es salaam.πŸ‘‡πŸ½







Westlands+Parklands-- 227 storeys.
Kilimani-- 153 storeys
UpperHill+Community-- 118
Hurlingham+Yaya Centre+Kileleshwa-- 48
Cbd-- 112
Ngara+Parkroad-- 27
Eastleigh+Pangani-- 127
Msa Rd+Jogoo Rd+Industrial area-- 142
Miscellaneous-- 267
Thats a total of 1,225 Tall Buildings within nairobi.πŸ‘‡πŸ½
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wewe ni mlevi sio bure
 
Dar kuna ilala, Ubungo na Upanga hujatajaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wewe ni mlevi sio bure
but kaa ukijua tembo niliwachamo kitambo sana last year november, i realy met my words. haikua mchezo babake... ndomaana skuizi haunioni niki full kujiachia/kujirushaπŸ’ƒπŸ•ΊπŸ»πŸ—πŸπŸΏ..... πŸ›ŒπŸ«‚πŸ‘πŸŒΆ kwenye vijiklabuklabu na mitungi/teii/maji/chingri,.. jaba,ketepa,mogoks,gomba,.. blanti/shash/nndom/kigode/bom,.. na mikasi/masupa/maroroo/maslayii/madenge.. kama vile hapo awali
 
Wewe wacha kujidanganya, zaidi ya watanzania wanaofanya biashara hapo Gikomba market, ni watanzania gani waliojaa Kenya, waje Kenya kufuata nini wakati wakenya wenyewe wanaitoroka nchi Yao?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe wacha kujichanganya. Sasa umekubali kwamba kuna Watanzania wanauza Gikomba. Kinachouzwa katika soko la Gikomba ni nguo ya mitumba na vyakula. Sasa hawa Watanzania unadhani wana vibali vya kuuza nyanya au vitunguu hapo Gikomba? Obviously hawana vibali, na kisheria wanastahili kukamatwa na kushtakiwa mahakamani. Sasa Mheshimiwa Jaguar aliposema kwamba hawa Watanzania wakamatwe na kurudishwa kwao Tanzania, nchi nzima ya Lazyland ilipiga mayowe including bunge lenu lilijadili hili swala. Serikali yenu ililia sana hadi ikabidi serikali ya Kenya kumkamata Jaguar na kumdhalilisha sana mbele ya watu ili tu kuwafurahisha nyinyi licha ya kauli ya Jaguar kuwa correct kisheria. Kauli aliyotoa Jaguar ilikuwa sahihi kisheria. Sasa nyie hamtaki turudishe hawa Watanzania kwao nyumbani wanaouza bidhaa katika soko la Gikomba bila vibali. Mnatukataza sisi kuwakamata hawa watu wenu kwa kulialia hovyo, sasa tukaona badala ya kuharibu uhusiano wetu, wacha tuvumilie hawa malazy wanaoishi huku japo hawana vibali, ili kudumisha amani.


Cc 7seven
Geza Ulole,
The best 007
Simon
 
Kanachekesha sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…