Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii Oysterbay ambayo pembezoni ni uswahili unalinganisha na Karen? With all these apartments, uswazi hovels and murram roads you want to compare it with Karen? πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Wewe ni wa kupuuzwa tu.

Alafu mbona mbishi? Hiyo ni ripoti ya KnightFrank. Kwa hivyo KnightFrank leo wamekuwa waongo? πŸ˜‚ πŸ˜‚ mnatia huruma sana mibongolaa
 
Eti mtu yupo busy anacompare Oysterbay Swahili village na Karen. Anionyeshe nyumba inauzwa this much hapo Oysterbay na Dar nzima nione
 
Hizi picha zote umeweka ni osterbey kabla ya transformation unajifurahisha tu.. hiyo barabara ya pembezoni mwa bahari hapo saivi inafanana hivi πŸ‘‡pitia hapa mbuzi wewe πŸ‘‡ . Osterbey haina mpinzani hapa EA, hilo pori la huko Karen πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Acha picha ziongee 'maneno achia bibi ako kwa boma[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚
Ukiondoa mahoteli ni nini tena unawezalinganisha nayo Zanzibar na Mombasa ? Choose your battles wisely
 
Eti mtu yupo busy anacompare Oysterbay Swahili village na Karen. Anionyeshe nyumba inauzwa this much hapo Oysterbay na Dar nzima nione View attachment 2273699View attachment 2273700
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hii Nimecheka sana haya ulale unono πŸ‘‡hizi nyumba zote Masaki hung'oi chini ya 1.5 million US moneyhii ni kubwa kuliko hutapata nyumba inauzwa pesa mingi kiasi hiki in the whole of kunya landπŸ‘‡
 
The last pic πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Do you have any proof bongolala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…