Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haha hio ni mkono yako???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....hapa tunaongelea dar vs nai...si I phones

sent from iPhone 7
ikwapi iphone 7 screenshot ikwapi kama unayo siunatuma tu narudia tenaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Haha kwanza hiyo mkono jooh...kwani huyu msee ichyboy ni msitu

sent from iPhone 7
unataka mwanaume rijali awe na ngozi laini kama huddah au vera sidika?.

BTW kwanini ume pay attention kwa ngozi yake?....wewe ni mwanaume mkamilifu kweli?......I doubt.
 
unataka mwanaume rijali awe na ngozi laini kama huddah au vera sidika?.

BTW kwanini ume pay attention kwa ngozi yake?....wewe ni mwanaume mkamilifu kweli?......I doubt.
Uyu msee kwani ni mwarabu...wewe na wewe unapenda umbeya mingi

sent from iPhone 7
 
Uyu msee kwani ni mwarabu...wewe na wewe unapenda umbeya mingi

sent from iPhone 7
shida yako nini?....awe mwarabu au mweusi tii kama mjaluo,hiyo si tatizo.

Mimi mwenyewe nafanana na wa-south Sudan na wala sijari.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimecheka sana alivyouliza "huo mkono ni wako" πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
sijui alitaka uwe wa nani mumeamini sasa aitoe wapi iphone 7 na huu ndio ujinga wa wakenya wengi wanapenda sifa ilihali ni maskini wakutupa yani hatariii πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
yani wanamaisha ambayo hata nguruwe hawez kuish lakini usikie mtu anavijiopamba utachoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…