Naomi is a Japanese athlete. The phrase is Japanese, meaning “Flower Bear”. But I guess it means something completely different for Swahili speakers.
Wanataka Kenyan shillings? 😂😂😂😂Wanataka Kenyan shilling na wanachukia Kenya. Stupid police na ni wanafiki na wachafu kuruka. Disgusting
Walianza kuzuia gesi sasa , chakula dawa yao ni kuwakaushia hivi hivi . Japo serikali wawasaidie wafanyabishara kwa kununua mahindi yao halafu hamna kupeleka tena truck wakanunue mahindi Mexico , yaani walikua wanamlaumu late JPM sasa mkorofi anaonekana live bila chenga . No wonder late mwl nyerere alifunga mpaka . Yaani jamaa wanapenda kushindana kwa mambo ya ajabu ajabu . Wakunya kila jirani mnapenda kugombana naeHawa kondoo ni kuwaonea huruma tu.
Yaani uwe founder wa lugha ambayo inakusumbua . Sifa za kijinga wakunyaumekubali kiswahili mufti ilianzia pwani mwa Kenya.? bongo tu ni copycat
hebu tusaidie hii picha ya mwisho hapo ni wapi 👇🤣
View attachment 2268212
Heheheheeee B767 hilo au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I have heard of many cases where Tanzania police target Kenyan vehcles plates on Tanzanian roads. Our neighbours down south are jealous of Kenyans to the core. Wanatamani sana kufikia uchumi wetu wa $120b
England walianzisha mpira lakini mwishoe wana world cup moja.Yaani uwe founder wa lugha ambayo inakusumbua . Sifa za kijinga wakunya
Mwengine huyo, hio sehemu ni karikoo tatu uziunganishe.Nilikuwa nasubiri aseme ni wapi ila nikasahau.
Hapo ni maeneo flani ya Istanbul, Turkey.., kwani hupajui wewe? 😂 😂 😂 😂 😂hebu tusaidie hii picha ya mwisho hapo ni wapi 👇🤣
View attachment 2268212
Tena sio moja, angalia mbele kule background kuna nyingine (NIT)Heheheheeee B767 hilo au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio nashangaa iweje wameiandika NIT?Tena sio moja, angalia mbele kule background kuna nyingine (NIT)
Hivi ile KQ Pride training facility bado ipo?Tena sio moja, angalia mbele kule background kuna nyingine (NIT)
Ndiyo concrete jungle yenu au sio, hebu vuta kwa karibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwengine huyo, hio sehemu ni karikoo tatu uziunganishe.