Kama vile wenzako hupenda kusema naona unajitekenya na kucheka mwenyewe....render gani iliwekwa yenye haijaanza kujengwahahaha hua kwake sioni marudio zaidi alipost wanjala maana wanjala alirudia akachoka majengo ni yale yale wakat renders zikionekana nyingi zaidi kila siku ila i love renders😀😀😀😀😀😀😀
hahaha anaota ndoto za alinacha huyo usimlaumu😀😀😀😀😀😀😀thubutu....msingekuwa mnatuwekea render images kila siku....hizo bado zipo kwenye papers.
hebu mwambie anioneshe renders alizoeka na anioneshe wapi ujenzi upo😀😀😀😀 ukitoa avic maana yule investor pesa anayoKama vile wenzako hupenda kusema naona unajitekenya na kucheka mwenyewe....render gani iliwekwa yenye haijaanza kujengwa
e renders😀😀😀😀😀😀😀[/QU
nimekupa mfanosiwez kupotea maana sijaona hata kimoja ulichoongwa cha maana kua nairobi kipo dar hakuna
Naah, Pinnacle, Montave, AVIC haziko on paper, ziko under consturction. Uhuru Kenyatta laid foundation ya Pinnacle. Ndio hio Montave underwaythubutu....msingekuwa mnatuwekea render images kila siku....hizo bado zipo kwenye papers.
thanks aise renders tamu sana 😀😀😀😀😀😀😀Naah, Pinnacle, Montave, AVIC haziko on paper, ziko under consturction. Uhuru Kenyatta laid foundation ya Pinnacle. Ndio hio Montave underway View attachment 587371 View attachment 587372
Wewe post tuone penye mnaishi sasathanks aise renders tamu sana 😀😀😀😀😀😀😀
asante sana mbavu zanguuuuuuuuu zinauma😛😛😛😛
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
hahaha hebu show me wapi munajenga renders plz show me again😀😀😀😀😀😀😀Wewe post tuone penye mnaishi sasa
Povu...[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]mshamba...hamna project inayojengwa bila renders.nenda kote duniani utaona renders...barabara, hospitali,reli, vyumba, stesheni, shule etc zote huwa na renders...mfano mzuri tu ni SGR Kenya...we have its renders...
Hahaha hawa majirani zetu ni wivu tu......we are way better than them in everything both positive and negativeYet bado tuko na bigger economy na our civil servants are paid better. Ata NGO workers
una picha nyingine zaidi ya hizo?.Naah, Pinnacle, Montave, AVIC haziko on paper, ziko under consturction. Uhuru Kenyatta laid foundation ya Pinnacle. Ndio hio Montave underway View attachment 587371 View attachment 587372
more renders watz njooni mubabaike sana...all projects have renders...washamba!
The Pinnacle (Dec 2019)
Montave
Avic International
acha kuzunguka huku na kule..wewe ndio umesema ni renders na hakuna kujengwa.ni render ipi yenye haijaanza kujngwa??unaniambia nimuulize yeye tena...ebu jiaminihebu mwambie anioneshe renders alizoeka na anioneshe wapi ujenzi upo😀😀😀😀 ukitoa avic maana yule investor pesa anayo
plz do the needful
mwache huyo jamaa...mi nashuku masomo yake ni madogo...post zake huwa ni either povu ama renders...zaidi ya maneno hayo mawili hana ufahamu wowote...Ichiboy amepotea. Kwani watu dar wanaishi wote cbd ama kwa hizo deach hotels?😀. Post hoods brazaaa
wah! this will be a masterpiece...inajengwa wapi?meanwhile...wabongo wakiendelea kulia juu skyscraper boom yao imefika mwisho.hakuna jipya tena zaidi ya mnf na mzizima.acha nairobi tuendelee kushusha vitu..
the marquis kileleshwa...21 floor twin tower
upperhill chambers skyscrapercity-26 floors
Mkuu unajitahidi kwa swahili yako acha nikuongezee kwa nia njema;mwache huyo jamaa...mi nashuku masomo yake ni madogo...post zake huwa ni either povu ama renders...zaidi ya maneno hayo mawili hana ufahamu wowote...
asante...Mkuu unajitahidi kwa swahili yako acha nikuongezee kwa nia njema;
Masomo yake=elimu yake