Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo za ughaibuni zinapakiza abiria?
I told you it's Kisumu culture, just like uswazi ni Swahili culture. In fact Kisumu remains the only town in Kenya that boda bodas are still operational if I am not wrong
 
Sasa kumaanisha there's no development in Arusha? Where are the things that touches the common mwananchi?
 
Mwenzako alianza kwa kusema kwamba hata football mpo mbele yetu nikamkumbusha kwamba even last time Kenya and Tanzania met in a competitive game, tuliwanyorosha, na rankings za FIFA pia tumewazidi.

As usual, akachange gear hewani na kuquote price money ya ligi between these two countries. Again, I reminded him that league performance is not a factor in ranking football powerhouses and used England as an example.

About players, Kenyan league had been the go-to league for many regional players until a few years back. Players from Rwanda, Uganda and even Tanzania flooded our league. Some came from as far as Ivory Coast. England players play even in foreign leagues, does that mean English league is a shitty one?

This narrative that your league is popular sijui mnaitoa wapi. Kwenye swala la michezo nyinyi ni wazembe sana and you know it very well
 
I told you it's Kisumu culture, just like uswazi ni Swahili culture. In fact Kisumu remains the only town in Kenya that boda bodas are still operational if I am not wrong
Najua wewe itakua mjaluo ndio maana unaipamba kipoison,ngoja mkikuyu aje athibitishe hili unaloongea
 
Angalia "ranking" ya CAF, ligi ya Tanzania ipo nafasi ya 9 kwa ubora Afrika, na nafasi ya 4 kwa umaarufu Afrika

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
mbona wameshindwa mpaka sasa wamebakia kuongea tu mdomoni kama mbwa koko 🀣🀣🀣🀣
Ukraine kupata EU candidate status ni jambo kubwa sana. Sijui kwa nini wewe huelewi hilo?
 
JNIA kwa umbali huo litaonekana kama ligodown hivi πŸ˜‚
 
Eti expressway πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, unajua maana ya expressway? Ziko mbili tu in East Africa, Kampala - Entebbe na Nairobi., na pia Kuna superhighway moja tu EAC., πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyo anajua maana ya neno expressway kweli?
 
Unaumia bana😴😴😴, ni Mombasa hiyo, sio Nairobi.πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukiona linaongea hivyo ujue lishaumia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Angekuwa na uwezo wa kusema hiyo si Mombasa angesema, ubaya kila mtu hapa anajua hilo jengo lipo Mombasa
 
Sawa sawa bongolala. Na hiyo ulaya Vingunguti kinaweza pambana na mtaa ipi hapa Kenya? [emoji23]
Muhimu ni kwamba wale wamaasai toka Kenya wameumbuka, hawawezi kuhamia Handeni, watalazimika kurudi Kenya ambako ardhi yote nzuri kwa malisho ipo chini ya wazungu na politicians

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…