Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Staki maneno maneno twende ground
SGR ya umeme imefika? naona umeni quote.., refer back when we did a comparison bana.., ngoja SGR na miaka 25 mbele to compare notes na Kenya, kwa sasa wacha sisi tujienjoy tu mnapo lia lia humu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Huu ni unyanyasaji sasa kwa wananchi kila kitu kiwe kulipia lipia tu,unafuu uko wapi kwa mwananchi kumpunguzia makali ya maisha?
Double taxation, ni kama ukitumia hela kwenye simu ( m-pesa , tigo pesa) na mitandao mingine wanakata kwa mtumaji na mtoaji huu ni kama unyonyaji pia ina discourage wafanyabishara wanaowauzia vitu watu wa mikoani . Kimsingi mh. waziri kakosa ubunifu ndio maana kila mara bundle la internet linapanda bei bila sababu ya msingi. Double taxation inasababisha watu waone kulipa kodi ni unyonyaji
 
Vipi unaogopa.? Kwenda ground.? ARUSHA vs kipoison ,uone kama hujatoka damu humu, mimi nimeshajipanga au nikusaidie kupost kipoison.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…