Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inabidi tu iwe hivyo ili iendane na jina sehemu yenyewe inaitwa kipoison

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii zanzibar moja yenye slums na usafiri wa canter?
 
chongchung a.k.a Avtomat Kalashnikova AK47 kuja uwapelekee moto [emoji91][emoji91] hawa warembo washalegea huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nazipokea sifa zote hizi kwa moyo mkunjufu mkuu 😂😂😂😂😂

Package yao nazidi kuiboresha siku hata siku mpaka wote wanilime block 😂😂😂😂😂
 
Mzee hii ni Tabora, sasa unafikiri Kisumu itatoboa hapa kama mtakua mnapost hiki ki estate kimoja kila siku kama dawa? 😂😂😂😂

Nimewaambia kwenye planing kunyaland ni mavi kwa Tanzania, mpo hovyo kwenye planing slums zimeshawakaba koo hamna ujanja wa kujinasua, Kisumu 90% ni slum na ndio maana hamuweki Google map wala drone sababu ni uvundo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…