Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Investors wamekuwa wengi Sana wanatolea udenda Bagamoyo Port kuanzia US,France,China na Oman..

Tujipange vyema kupata value for money kwa mwenye offer nzuri.
 
Subiri waje kukuambia kaizirege ni mkunya
 
on the international platform, nairobi reduces dar es salaam to rubbles and debri ..... πŸ˜†

 
Nimeingalia hii video ebhanaeeh huh mradi wa BRT phase 3 ikiisha hao punguani za kikunya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ itawabidi wafungue battle ya NAIROBI vs Kigali, because we will no longer be in the same sentence with them.. Cc Tony254 vipi una lolote la kusema.?
 
Itakua shida mkuu
 
Hii Thiba Dam ni purely agricultural (ukulima), no power production and it is functioning. View attachment 2259040
Chagua Dam tuanze battle ya Dams za Tanzania na kunyaland
A desert country needs competition na Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yaani Wakunya ninyi malimbukeni kweli, mumejenga kidimbwi kimoja mnatutambia kisa hamjawahi kusikia Tanzania tukiongea kuhusu dams basi mnafikiri hatuna 🀣

 
Ili eneo linaitaji flyover tena barabara ya Mandela ianzie sheli kule kwenye daraja la watembea kwa miguu ili kuondokana na foleni ya malori kutoka bandarini au ww unaonaje
Ni kweli, hapo kuna Flyover but still foleni ni kubwa tu, me nafkiri hili eneo lipate three level interchange kama ile ya Ubungo..
 
Utawakimbiza jirani,kuna time unatakiwa uwape pumzi, wajifariji kidogo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utawakimbiza jirani,kuna time unatakiwa uwape pumzi, wajifariji kidogo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Tatizo wana ushamba wa kipumbavu sana, eti kidimbwi kinajazwa maji kwa siku 1 then wanasema wana Dam,

Visibility study ya Farkwa Dam linalojengwa Dom inaonesha litajaa to it's full capacity kwa miaka mitatu, then ndezi mmoja anaiunuka na kidimbwi chake cha siku moja anatutishia maisha πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…