Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dah! Nimeumisi Uzi huu nilijihisi mpweke kuwa mbali nao nimatumaini yangu ninyi nyote mnasiha njema na mnauendeleza mtanange huu
Salamu zangu za dhati Kwa
Annael,kadoda,lusematic,colomz,ichoboy,el matador,ndinda,saadeque,tuusan,wanjala,evart,zuwena,lewis,jay ,light yaghami na wengine wote
 
Kawe na mikocheni izo paa nyekundu ni kiwanda cha cocacola kwanza.....picha haijang'aa vyema lakini imechukua eneo kubwa waweza zoom kuipata poa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
so hapo ndio umamaliza au bado kuna ziada😀😀😀😀😀😀
kama kuna ziada niambie
 
Kumbe kusoma kunakusumbua pia...niwapi amesema africamesema best city at the indian ocean
Mm naamini kamaanisha Africa na hilo wewe unalijua vzr sema unataka ligi zisizokua na kichwa wala mguu
 
hebu leteni recreational park(s) toka Dar zipambane na Uhuru Park...
sio wote lazima tuwe na jobless recreational park like Uhuru park.

hapo Uhuru park pana kitu gani cha ziada zaidi ya lile bwawa na watu wasio na kazi nairobi wakilala kwa manyasi kutafakari maisha yao?.

kiufupi I don't see anything beautiful at Uhuru park apart from what I have mentioned above.

kwa sisi wa dar recreational center zetu ni public beaches.

kumbuka nairobi hakuna beaches, vinginevyo inawabidi msafiri kwa gari umbali wa kilomita 482.8 (masaa 8 na dakika 33),kwenda Mombasa kufata beaches..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

sisi kwetu beach ni kitu cha kawaida sana...imagine kutoka kwangu mpaka ilipo beach ni mwendo wa nusu saa tu.



 
i do keep tabs....

hii Kawe City tuliaminishiwa ni 50flrs x 5.... tena imegeuka kuwa 15flrs.... Shukran!

7/11 is one of residential apartments in Kawe city. its not kawe city ...Kawe City Is A city my friend with many buildings office,hotels ,malls and other residential apartments ..7/11 is G+19 x7 kama cio x8[emoji23][emoji23]..moto uko pale pale
 
unaringa na beaches? my frend kenya is not land locked...look at this one ..karingie rwanda sio sisi....diani was voted the best beach in africa...we have beaches my frend...
 
So hii nayo ni CBD hahahaha
Try to be serious basi
ww una kasoro bwana..CBD tena imekuwa jengo?... .upperhill ni kubwa ila picha hii ni ya simu...ulitaka jamaa apae angani ndipo apige picha CBD nzima? labda nikuulize ndugu, umesoma mpaka ukamaliza ama ww dropout? sababu naona kueleza vitu vya kawaida sana ni shida huelewi ina maana hujui CBD nini? tuanze hapo kwanza...maybe nitakulewa...umeenda chuo kikuu ama umefika kidato kipi? CBD sio jengo mkuu
 
unaringa na beaches? my frend kenya is not land locked...look at this one ..karingie rwanda sio sisi....diani was voted the best beach in africa...we have beaches my frend...
nahisi hujanielewa.....by the way,nairobi zipo beach?
 
nahisi hujanielewa.....by the way,nairobi zipo beach?
hamna beach Nairobi...zipo Mombasa, Lamu na Malindi....zipo parks kama Uhuru park Dar? yaani that park is one of its kind in Africa...ukiringa na beaches nikama sisi tuanze kuringa na national parks za wanyama...Tanzania pia national parks zipo...sasa ndio maana nakwambia usiringe na beaches...mbona kenya zipo tele?

ila nakulewa, una maanisha sababu hii ni Nairobi vs Dar, Mombasa beaches dont apply... right??
 
hamna beach Nairobi.
Asante kwa jibu lako....[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
unaringa na beaches? my frend kenya is not land locked...look at this one ..karingie rwanda sio sisi....diani was voted the best beach in africa...we have beaches my frend...
Mimi kingereza sikijui vizuri. Nimecheck kwenye kamusi sijaona maana ya neno lile kwenye rangi nyekundu "frend"
 
Mimi kingereza sikijui vizuri. Nimecheck kwenye kamusi sijaona maana ya neno lile kwenye rangi nyekundu "frend"
huo ni ufupisho kama vile naweza nikaandika....gf meaning girlfriend..wacha hata 'frend', saa zingine huwa tunaandika 'fren'...wewe vipi? mbona ushamba ushamba namna hii....skuizi watu hawaandiki full haswa kama wanachat tu... najua jinsi neno 'friend' inavoandikwa ila hapa si lazma (lazima) mfano wa pili huu...kwani ni insha tunaandika ama gazeti...lol ndio tufanye editing Pili, kuwa mtu mzima...small small things like this you are noticing?? kwani ww mtoto? ama wewe mwalimu wa Grammar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…