Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

abiria wanasimama mpaka kwa light rail...nenda addis ababa ujionee...hata marekani...sio jambo lakushtua ila nyie mpaka kuku, mbuzi na bata huwa mnasafirisha kwenye BRT...yaani mnachekesha kweli...
Hivi unajua kwanini tunawashangaa hivi? wenzeni walipinga sana hii kitu kusimama kwenye public transport na wametukana kila tusi, angalia post za nyuma , tuliwatumia hata mabasi ya london, lakini wakasema wao kenya hamna vitu kma hivyo, sasa na wewe hapa unaonekana kituko tena kwa kubali hadharani hivi hivi wakati wenzako huko nyuma walikua wanatapika pumba. too bad hamweleweki.
 
upo sahihi ndinda....ngoja nirudi page kadhaa nyuma nikalete zile post za wale washamba ili kila mtu azisome.
 
Hujielewi wewe! Those are VIP shuttles from the Airport to the hotels.

Unajifanya kujua sana!! Nani hupanda gari from a terminal building to the aircraft??? HHHHHHHH

Kwani iko wapi hiyo Aircraft?

Do you do that in Dar????
ni hotel zote za nairobi au specific hotels?....
 
All trees gone! Excavation full swing


For these, 40 Flr Hotel, 25 flr Office, 19 flr residential. Montave Kenya
 
haya ya Nairobi hayabebi mbuzi na bata kwenda sokoni
nini maoni yako kuhusu issue ya kunguni kwa matatu na hii hapa chini.........???[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
nini maoni yako kuhusu issue ya kunguni kwa matatu na hii hapa chini.........???[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kunguni zimekuuma wewe?

ooh, sawa, Kunguni zimekuwemo kwenye mabasi ya kwenda Mwiki, Zilisambazwa na wanafunzi toka Thika hilo lilikuwepo, ila sahi, hazipo tena.

Kisha nikuulize tena, Kunguni hizo za Mwiki zimekuuma wewe??
 
Kunguni zimekuuma wewe?....Kisha nikuulize tena, Kunguni hizo za Mwiki zimekuuma wewe??
mbona povu?.....punguza hasira...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…