El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
yap yap....kuna wakati nilisafiri eneo la molo town katika county ya nakuru....then after a stay of three days at molo, i travelled to kiptagich in baringo county for more exploration of kenya.
i can't forget those days...I was like an explorer vasco de gama.[emoji23] [emoji23]
haha ipo mtaani kwangu hapa ilala msimbazi center. huwa sometimes nachukua nikiwa nataka kuuza sura kwa mademsomeone spotted these old school toys in dar city.
ndio kusema watz walianza ku-push luxury cars toka zamani sana.
Hawa wakenya wengi wao hawajawahi kufika hata Tz, bahati nzuri Mimi nimekuwa nikitembelea Kenya hata kabla ya mwaka 2000.yap yap....kuna wakati nilisafiri eneo la molo town katika county ya nakuru....then after a stay of three days at molo, i travelled to kiptagich in baringo county for more exploration of kenya.
i can't forget those days...I was like an explorer vasco de gama.[emoji23] [emoji23]
Hahaha. .....wewe ni bhangi we huvuta.........Tanzania is not an LDC by mistake. I have travelled to Northern Tanzania and let me not comment.Hawa wakenya wengi wao hawajawahi kufika hata Tz, bahati nzuri Mimi nimekuwa nikitembelea Kenya hata kabla ya mwaka 2000.
Maendeleo ya Bongo ya speed Kali kuliko yao, Dar Es Salaam inapaa kwa kasi kubwa sana. Tafuteni picha ya Nairobi 1995, picha ya 2005 na 2015 na mfanye hivo hivo kwa Dar ndio mtaona Tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Show us how people live in turkana, the Elgon side and Moyale first and come back and compare.Hahaha. .....wewe ni bhangi we huvuta.........Tanzania is not an LDC by mistake. I have travelled to Northern Tanzania and let me not comment.
Sent using Jamii Forums mobile app
safi.....sana....Show us how people live in turkana, the Elgon side and Moyale first and come back and compare.
Sent using Jamii Forums mobile app
usibishe bishe ovyo kama mtoto......ukimchukua zMtanzania aliyejichokea na ukimchukua mkenya aliyejichokea tofauti kubwa sana utaiona....yaani uchokaji wa mkenya ume mdouble triple mtanzania aliyechoka maskini wa kenya nimmechakaa sana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji12]Hahaha. .....wewe ni bhangi we huvuta.........Tanzania is not an LDC by mistake. I have travelled to Northern Tanzania and let me not comment.
Sent using Jamii Forums mobile app
nimeipenda siasa yao........hivyo vitu yapaswa hata tz tuweze kuvifanya punde inapotokea stofahamMatokeo ya uchaguz kenya yamefutwa na yatarudiwa november kweli Mungu husikia vilio vya wanyongeππππππ
Wapi mzee wa iphone 7 bandia
View attachment 579602
Walifanya wizi wakishamba hata mtoto mdogo anajua wizi umefanyikaπππnimeipenda siasa yao........hivyo vitu yapaswa hata tz tuweze kuvifanya punde inapotokea stofaham
Sent using Jamii Forums mobile app
hata mimi naipongeza mahakama ya juu ya kenya kwa kufanya shughuli zake za kimahakama kwa uhuru na uwazi bila kuingiliwa na taasisi yoyote au kikundi fulani cha watu.nimeipenda siasa yao........hivyo vitu yapaswa hata tz tuweze kuvifanya punde inapotokea stofaham
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] wajipange waje chukua mbinu kwa baba yao tanzaniaWalifanya wizi wakishamba hata mtoto mdogo anajua wizi umefanyikaπππ