Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa watu ni washamba sana huoni suruali ya kushonesha toka korogocho hiyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kenya is the King of slums in the World, here is slums around Kenyan state house called Sego slum, yani ma slums mpk ikulu, wallahi wakunya hawatoenda motoni mana moto teyari unawachoma hapa hapa duniani [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ile kiwanja chao ni kituko kabisa. Nasikia it doesn't even a single hotel wakati yetu iko hadi na police station
Umepanic mpk unakosea kuandika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii 7.5% growth is very true, our company made profits ya 3billion!, na tuko based mashinani, nje ya Mombasa na Nairobi, and imagine we sell our products only in Kenya na demand ime shoot post covid., ..,
Company gani wkt 70% ya wakunya walifukuzwa kazi kutokana na effects za corona.
 
well put brah.! on point.! hapo umegonga ndipo.! think he is a BankTeller to be precise. since a reasonable moneyed person, cannot just hold such humongous cash at a given go in the house.!! again, i can even see a MoneyCountingMachine. this are things you only find in a bank.!

nb: hivi, hii ku over exaggerate, ndo imemuuza. muongo kapatikana.! SIMBA kapakatwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚



ya Diamond nakubali given his personal stature as an icon
 
Unajitoa ufahanu kwenye picha ya kwanza with low hanging branches za tree now you put a different picture kuficha ujinga wako.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ujinga ni kuamini kwamba concerned authorities know those tree branches are low hanging and are doing nothing about it.

Bongolala, the road you are talking about is the same road I posted its picture a while ago. It's called statehouse road na ndio hii hapa.

Where are those low hanging branches here?

Wewe unapumbazwa na drone images taken from the sky wakati mimi nakupa horizontal pictures taken at ground level
 
Ile kiwanja chao ni kituko kabisa. Nasikia it doesn't even a single hotel wakati yetu iko hadi na police station
We kenge mbn upo kmy, ushatii au?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dar ina miti mingi kuliko Kenya nzima ukibisha twende kazi.
 
Company gani wkt 70% ya wakunya walifukuzwa kazi kutokana na effects za corona.
Kwani wewe ni mbumbumbu aje.., recovery ime shoot beyond normal,na mimi sio mwehu kama wewe mzee, pia ujue Kenya sio Tanzania yenye ni perennially poor with or without covid hamsongii..,
 
well put brah.! on point.! hapo umegonga ndipo.! think BankTeller to be precise. since a reasonable moneyed person, cannot just hold such humongous cash at a given go in the house
Wakunya bhn yani akijua broken kdg tayari naye anajiona msomi kwa mfano huyu fundi muashi msaidizi tayari naye anajiita engineer [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ujinga ya watanzania wengi hapa ni wa kiaina, yaani inaeza kua tunapingana na laana vile naona๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
2021 nyambaff, hizi sio akili za kuona $150B isiokuwepo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo 2020 uchumi ulikuwa in negative way then immediately 2021 ukakuwa kwa 7.5% hivi nyie shule mlienda kufanya nn kama mnashindwa ku calculate even small arithmetics kama hizi, jiulize iweje uchumi ukuwe ilihali majolity wanafukuzwa kazi mpk leo.
 
Dar ina miti mingi kuliko Kenya nzima ukibisha twende kazi.
Ona hizi fikra, so what? what's your point then? unakwepa kinjaro baada ya kushikwa pabaya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ