Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Soja wewe unajua hata military drive ni nini?😂😂😂
 
Soja mimi Niko na time. Sio kama wewe mwenye Mchana ni hawker na usiku ni askari[emoji23]
Mm nakupiga punch za kweli wewe unabaki kuleta u cartoon [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Halafu ni engenere! [emoji28]

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Mm nakupiga punch za kweli wewe unabaki kuleta u cartoon [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe subiri usiku ufike😂😂
 
Hapo next to RSA. Logo ya Man Trucks inaonekana vizuri in blue. chongchung Ni lini uliona makao ya MAN TRUCKS hapo Arusha?
Hehehe jamaa anataku kuforce hiyo kampuni to be in Tanzania 😂😂. But hiyo ni tabia yao, Kuna siku soja pia aliiba assembly plant ya Scania based in SA na kuclaim ati iko Tz 😂🤣
 
Eric Omondi na Harmonize wamepigana hapa Kenya. Harmonize ametiwa mbaroni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…