Sawa umeshinda. Wewe ndio mtaalam. Mimi sina ujinga wa kubisha mambo ambayo siyaelewi vizuri kama vile joto la jiwe hupenda kufanyaC# lazima unaandike classes , object na method ni OOP acha ubishi wa kitoto . Hata mimi mkizungumzia uchumi wenu uwa naangalia tu View attachment 2200334
Nimecheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nairobi BRT ndio nini? Kuna BRT Nairobi?[emoji28][emoji28]
Piga tu kelele hapa na vitu vinaibwa. Ukifutwa kazi usitulaumu.Kijana mm co size yako, nmekuacha mbali sn, wakunya wa humu wengi ni kapuku na wenye umaskini wa kutisha, sura zenu tu zinamaanisha ufukara mlio nao, kingine nilichogundua ni kwamba Wakenya mna shobo sn mkigundua mtu anafanya kazi sehemu nyeti, hilo nimegundua baada ya kuona eti hamuamini kwamba mm ndiye, mmebaki kujifariji lkn ukweli ni kwamba mmenishangaza kuonesha inferiority complex kwangu wkt ni mambo ya kawaida tu, acheni shobo mtafi..rw.a.
Mm nimekuacha parefu sn, ona nilivyo alafu jiangalie na wewe ulivyopauka [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Piga tu kelele hapa na vitu vinaibwa. Ukifutwa kazi usitulaumu.
View attachment 2200362
View attachment 2200363
south sudan kenya ✔Hakuna nchi yoyote mnapatana nayo na haitakuja kutokea mpk kiama, hii ni kutokana na ukweli kwamba shida humfanya mtu awe na roho mbaya hivyo kupelekea kugombana na kila mtu akidhani anaonewa.
Your colleagues are greeting you.Mr. Kipara, ngozi imefubaa kama ngozi ya tako na hii picha ilipigwa 2012, now atakuwa na upara kabisa, miaka 35 bado anasoma [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2200388
Nimejaribu ku oanisha hii picha nimegundua kwasaa utakuwa ushagonga 40 na bado unasoma [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenye bado anasoma huwa analipwa mshahara?Ukiangalia huu mwili na hiki kichwa ni kwamba kwa sasa jamaa atakuwa keshagonga 40 na bado anasoma, ss sijui ata enjoy lini, watu tuna umri wa wastani tayari tuna future, wengine bado wanasoma licha ya kuwa watu wazima [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2200404View attachment 2200405
Mchana wewe ni jamaa wa mali mali na jioni wewe ni watchman.Nimejaribu ku oanisha hii picha nimegundua kwasaa utakuwa ushagonga 40 na bado unasoma [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2200406
Mshahara ungeutumia kununua soksi na viatu basi, unatuaibisha ujue, miaka 40 bado unasoma[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwenye bado anasoma huwa analipwa mshahara?
Umechoka na kazi ya soldier tukutafutie ingine?Yani ushagonga 40 na bado huna pesa ya kununua simu wala kiatu, unavaa kiatu kina mashavu, yani kiatu kimechoka mpk kinatoka mashavu, sawa pesa ya kiatu huna lkn hata soksi unashindwa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2200408View attachment 2200409View attachment 2200410