Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania wengi humu hawajui Kenya inafanya mambo kwa mpangilio according to Kenya Vision 2030 iliyo kua launched in 2008..,
Sasa ni wakati wa ku tick boxes of accomplished projects..,
Render👇👇 ya Expressway in 2008 katika chapisho la Vision 2030 (Personaly nilidhani ni ndoto za aliniacha, I was wrong)si jambo la kushtukia tu kama ilivyo TZ.., 😂😂😂



2022..,🔥🔥🔥🔥

mengine..,
SGR
Lamu port
Bypasses
Watanzania don't hate nor copy us, tunafanya mambo yetu kulingana na strategic plan tulio unda tokea 2008...,
8 years to go.., nadhani tutakamilisha over 80% ya malengo by 2030
 
It had a storage capacity of 10, 000 tonnes that will grow to 25,000 tonnes—making it the largest terminal in sub-Saharan Africa.

Imeshagrow?
 
Hapa tunazungumzia storage tanks tu. Sasa haijalishi tunanunua Lpg wapi, cha msingi ni kwamba tuna biggest Lpg storage facility in Sub Saharan Africa. Tunaweza kustore Lpg kwa wingi kushinda nchi yoyote SSA.
Tuta Tuta Tuta
 
Naona umemaliza kupika chai na kufagia airport sasa uko selfy mode ukingoja Rosa upande uende uswazi ukapumzike[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2185013
Kama mpk mfagiaji ana transport allowance basi hii nchi haina mpinzani hapa Afrika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata Paris zipo slums kama za Nairobi though huko mnaziita estates
Basi Dar yoote itakua ni shithole kwa vile hakuna estates kwa wingi, ni ushamba unao sambazwa na ufukara, jiangalie kabla ya kupost.., 95% ya Dar in 2022!..,
Google earth msema ukweli.., Dar is slum


 
Kama mpk mfagiaji ana transport allowance basi hii nchi haina mpinzani hapa Afrika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani ni jambo geni? factory transport or company hua hazibagui., uwe security ama mama chai nyote asubuhi mnachukuliwa from a designated point na kurudishwa jioni., so kwako hiyo ni ubabe? lishamba😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣😂
 
Doesn't make Dar to be better and above Johannesburg or Nairobi..., jua hilo.,
Panya za Jozi..., 😂😂😂
View attachment 2184948
View attachment 2184951
ikiwa SA, ni Van, ikiwa kenya ni Vipanya, ni hapo ndo utapata kujua kua kenya sio nchi mbaya venye wo ubishana hapa, bali ni uwivu tu. aky hawa watu, kenya inawasumbua sana. wengi wao hapa wako na ugonjwa wa pressure na ulcers jili tu ya kenya

 
Xpress way vs electrifitried SGR kipi ni kitu cha kushangaza zaidi kuwepo East and Central Africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama kuna mtu angeliniambia mwaka 2010 kwamba ifikapo 2025 Tanzania itakuwa nchi ya kwanza Africa kuwa na European standard electrifitried SGR ambayo ni ndefu zaidi barani Afrika basi ningelimpiga makofi kwa kuniona zuzu wa kiwango cha SGR iliyosuswa pale Suswa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hebu onesha mfagiaji akipelekwa na company transport huko Kenya, mana Tz tayari ushamuona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We nawe wacha upumbavu hebu angalia hizo van zilivyo bomba alafu fananisha na vipanya vya ka Nairobi, kwanza mazingira tu ukiweka ya ka Nairobi ni uharo na dongo jekundu pembeni mixa machinga, alafu ndio ufananishe na SA unaumwa wewe.
 
Tanzania ni nchi ya "Ujamaa' na itaendelea kuwa nchi ya Ujamaa'. Tanzania serikali ndiyo yenye kumiliki ardhi ambayo ndiyo "the most important mean of production" nchi gani ya kibepari ambapo ardhi ni Mali ya serikali?, Ninyi endeleeni na ubepari wenu watu wachache wanamiliki ardhi na kuwaacha wananchi wengi wakifa kwa njaa
 
Hii lugha yenu tumeizoea, kabla ya kusema "is the biggest in Sub-sahara Afrika", mlipaswa kutaja uwezo wa nchi kubwa Kama Nigeria, South Africa, Angola na Tanzania ili tulinganishe.
 
Hapa tunazungumzia storage tanks tu. Sasa haijalishi tunanunua Lpg wapi, cha msingi ni kwamba tuna biggest Lpg storage facility in Sub Saharan Africa. Tunaweza kustore Lpg kwa wingi kushinda nchi yoyote SSA.
Tunaomba ushahidi Kama Kenya ndiyo yenye biggest storage capacity in Sub-sahara Africa[emoji13][emoji13][emoji13]
 
We nawe wacha upumbavu hebu angalia hizo van zilivyo bomba alafu fananisha na vipanya vya ka Nairobi, kwanza mazingira tu ukiweka ya ka Nairobi ni uharo na dongo jekundu pembeni mixa machinga, alafu ndio ufananishe na SA unaumwa wewe.
tofaut ni wapi na wapi... hii ni siku ya kawaida kabisa. a level playing ground. sema tu wee kenya kwako, kuna vile....

nairobi


johannesburg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…