Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

3 interchanges in Nakuru county and several in Mombasa ...Nairobi has over 30 fly overs

sent from iPhone 7
Nairobi mnahitaji makofi,mlianza kununua nyama wakati ndani hakuna Mchele wala unga...flyover zote hizo traffic kubwa iko palepale what is the use?
Nyie ni manyang'au Angalia tumeshaweza kupunguza foleni na mradi wa brt then tunaenda kwenye flyover na interchanges nadhani nyie ni wale mnaokimbia vizuri lakini nje ya mstari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila hizo traffic ingekua worse then ata kukue na Brt personal vehicles bado ni mingi na ndio maana barabara zina expandiwa kila kukicha...then ata Beijing wanahizo zote hadi brt but traffic ni worse ya nai

Mechanism ndogo mf mnaweza zuia basi ndogo kuingia mjini kati (CBD) inaweza punguza kiasi flani...uko badae hali itakua mbaya sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…