Hehehe ebu waulize mbona hiyo list wamekazana nayo Tanzania haionekani in it[emoji23][emoji23][emoji23]Heeheee yani mimi nakuletea source ya KRA na wewe unakimbia na blogu. Despair. Ama kwa kiingereza ya Geza Ulole , desparation. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
I guess you don't know how artificial shortage works [emoji23][emoji23]Reserves are full indeed [emoji1787][emoji1787][emoji1787] you can fool some people for sometime but you cant fool all the people all the time.View attachment 2175631View attachment 2175632
😂😂😂 Wewe tena.?Who is Africa Facts zone?
Soma maneno ya mwisho kwenye hiyo screenshot yako... na kampuni kuficha mafuta.Reserves are full indeed [emoji1787][emoji1787][emoji1787] you can fool some people for sometime but you cant fool all the people all the time.View attachment 2175631View attachment 2175632
Government agencies wanapishana kauliSoma maneno ya mwisho kwenye hiyo screenshot yako... na kampuni kuficha mafuta.
Unajua maana ya sampling kwenye research au survey?Hehehe ebu waulize mbona hiyo list wamekazana nayo Tanzania haionekani in it[emoji23][emoji23][emoji23]
Sama boy 255Hehehe ebu waulize mbona hiyo list wamekazana nayo Tanzania haionekani in it[emoji23][emoji23][emoji23]
Mojawapo ya mitigation strategies is for the government to have its own reserves as a tool to control price hikes and hoarding by fuel companies so what does the GOK do in this respect?Soma maneno ya mwisho kwenye hiyo screenshot yako... na kampuni kuficha mafuta.
Cement sio ya kitoto hapo dah
huyo ni mshamba tu hata asikusumbue kichwaNjoo uone alichokijibu. Nilisema ngoja nimute nimuone.Mama mwenyewe muda si mrefu amesema wale wote walioiba pesa wachukuliwe hatua sasa hapo sijui atapindisha tena? Na nilisema asiwe mpole na hawa watu watamkwamisha asipowashughulikia mapema.
umesoma hiyo caption ya hiyo habari vuzuri au unaropoka tuYani number 1 & 2 tumenyamaza number 3 ndio mnapiga kelele. Umenikumbusha hii meme. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
huyo ni chizi akili yake ni ndogoYaani nimeshangaa sana mkuu kama vile anatumwa sijui, ili kumpumbaza mama kwamba anafanya kazi vizuri halafu huko baadaye mambo yaharibike akishika tama mwenyewe hawatakuwepo wala kuwa naye, wanataka kumletea stress mama yetu.
Watu wanakwenda ofisini hawashughulikiwi wakiuliza wanaambiwa mpigieni simu Magufuli aje awasaidie si ndiye aliwazoesha hivyo. Sasa unajiuliza ina maana uongozi huu hauogopwi?
Watu wa chini ndio wanajua shida na ndio wengi wanaoumia na ndipo palipo na mtaji wa wapiga kura hata mzee Kinana anaujua umuhimu wake viongozi wa shina na mitaa.
Eti tunalialia humu , kwani viongozi humu hawapiti na kuona au yeye hajui taarifa zinakusanyw vipi mpaka zifike huko juu. Kwamba za kusifia tu ndio zinafika ila zinakosoa hazitakiwi.
Mkuu ngoja tu nyamaze.
Tanzania hamna chokoraa, this is typical Kenyans behaviour of begging!Wazima wamekuja Kenya wakaacha watoto internship Tanzania [emoji23][emoji1787]
View attachment 2175547
Duuhh hilo dude kumbe kubwa ....angalia hivo viroli vya mchanga muonekano wake vidogo vidogo
Nimeamua kuachana naye mkuu.
Kabisa yaani
Si mchezo mzee, huu mradi mkubwaDuuhh hilo dude kumbe kubwa ....angalia hivo viroli vya mchanga muonekano wake vidogo vidogo
Says a man who lives thousands of kilometers away in uswazi DarGovernment agencies wanapishana kauli