source ndio hii😀😀😀😀😀😀😀😀😀 imetoka kwa umwishi wami
The problem with these Satellite Cities ni kwamba izo Towers unaziona kwa renders huwa haziko specified zitakuwa floor ngapi.Annael kawe city mbona sijaiona😀😀😀
Ama kweli utawaua
Nairobi nzima haina hiyo status achilia mbali pori lolote nchini Kenya.
dar inawaumiza sana kichwa hawalali wala hawashibi😀😀😀😀😀
Tulia na utulize kipapa hii sio tz ya 90sThe problem with these Satellite Cities ni kwamba izo Towers unaziona kwa renders huwa haziko specified zitakuwa floor ngapi.
Ama unataka kusema ni 50flrs by 5 ?
Mtu akiishi kwenye mazingira kama hayo ya Dar is Slum, hajui tofauti ya Slum na City. We understand. No wonder nilisikia mnajisaidia huko vikojozi!!Nairobi kufikia status za kimataifa kama izi ni ndoto , nyie endeleeni na kutumia matatu zenye zenye kunguni hii international standard public transportation hamuwezi fukia uku
spensa_e
Mtu akiishi kwenye mazingira kama hayo ya Dar is Slum, hajui tofauti ya Slum na City. We understand. No wonder nilisikia mnajisaidia huko ndani kwenye BRT1!! vikojozi!!Nairobi kufikia status za kimataifa kama izi ni ndoto , nyie endeleeni na kutumia matatu zenye zenye kunguni hii international standard public transportation hamuwezi fukia uku
spensa_e
kama kweli sio tz ya 90s then you need to prove to us that you not living in ancient timesTulia na utulize kipapa hii sio tz ya 90s
Tunaanza na hapa
1. TPA |40F |
2. PSPF Tower A|35F
3. PSPF Tower B|35F
4. Mzizima Tower Office |35F
5. Mzizima Tower Residential|33F
6. PPF HQ |35F|
7. MNF Tower 1 |32F |
8. MNF Tower 2 |32F |
9. Uhuru Media Tower |32F|
10. Rita Tower |30F |
11. Millenium Tower II|30F |
12. Dar es salaam Stock Exchange |30F|
13. NHC Morocco Square Tower 1|30F|
14. NHC Morocco Square Tower 2|30F|
15. NHC Golden Anniversary Building |26F|
16. Umoja wa Vijana Complex Tower 1| 25F |
17. Umoja wa Vijana Complex Tower 2| 25F |
18. Uhuru Heights | 25F |
19. NHC Morocco Square Tower 3|25F|
20. PSPF Tower |24F |
21. NHC Tower |23F|
22. 3.Quality Boulevard|22F |
23. Benjamini Mkapa Towers Tower |22F |
24. City Plaza | 22F |
25. KHAKI PLAZA|22F|
26. Viva Tower Tower 1| 21F |
27. Viva Tower Tower 2| 21F |
28. BOT tower North|20F|
29. BOT Tower South|20F|
30. NHC Victoria palace |20F|
31. Dar es Salaam|Sanaa Tower|20|
32. Al Karimo Plaza|20F |
33. NSSF Ilala Mafao House|20F|
34. Ushirika towers | 20F |
35. KKOO Mall |20F
36. Sky Tower |22F
37. Golden Jubilee House |24F
38. IT Plaza |22F
39. PSPF House |24F
40. NHC Commercial Complex|21F
41. UPANGA ELITE RESIDENCY |20F
42. Golden Premier Residences |27F
43. Kilimanjaro Towers |20F
44. Center Promise Tower |35F
IT tower ni 20 floors???....14 of this are proposed not U/CUshirika Tower ujaweka. Mawasiliano tower
Hapo bado Dodoma Stadium[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Wazee wakupika Data. Wameingia skyscraper city wakafanya yao alafu wakatuletea humu. Wakenya kwa kupika Data sijui wataacha lini! Tatizo itakuwa unemployment ndoyawafanya mfanye hivyo. Mnajiaibisha sanaaa.
hamia nairaland kwa wazee was jiji chafu la lagos.Ku-argue na waBongolala kwataka roho kweli
Wasichojua wakenya nikuwa sisi sikila jengo linalojengwa tunaliweka skyscrapercity au humu. Kuna majengo mengi Dar es salaam marefu hadi 20 floors hayapo skyscraper city. Lakini Kenya hadi jengo dogo mnakimbilia skyscraper city kuliweka. Nilipitia nikacheka sana. Upanga kuna gorofa ndefu sana lakini hazipo skyscraper city wala humu. Its like being jobless mmeamuwa kuwa mnahesabu nakupiga picha kila ghorofa. Kutojishugulisha nivibaya. Mme kuwa mki expose mambo yenu mengi sana kwenye internet. Ndo maana Leo hi mnapata wakati mgumu kwenye hii battle. Kuna information nyingi juu ya Kenya ninazo lakini nawahurumia kuziweka humu. Kenya yote imekuwa exposed kwenye internet kiasi kwamba mkafikia had I stage yakupika
Majengo mengi ya Kkoo na Upanga hayana thread SC
Unachotaka kujua ni nn baba😀😀😀kama kweli sio tz ya 90s then you need to prove to us that you not living in ancient times