Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sikunyingine uache uropikaji ,unajihaibisha tu hapa unaonekana mjinga na wakenya wote mnaonekana wajinga

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Nnachoona hapo ni cheap buildings kwakwenda mbele, ukizitoa hizo NBO towers [emoji23][emoji23][emoji23] ni kucheka tu
Kwanza miaka miwili nyuma walikuwa hawakatizi pua zao zinazonuka mbele ya Dar when it comes to skyscrapers, ni hivi juzi juzi tu baada ya msaada wa wachina ndiyo wameanza kuongelea skyscrapers dhidi ya Dar na hapo ni baada ya miaka mitano ya Magu ambaye hakujishughulisha na majengo marefu.
 
huyo mda mwingine huwa anaropoka tu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Ni msahaulifu alafu pia anapenda kuongea vitu ambavyo kwake ni oversize, kesho atakwambia "haaa kumbe Tanzania mmejenga daraja refu hivi la Tanzanite, aisee hongereni sn nilijua bado tu mna Kigamboni cable stayed bridge, hongera jirani".
 
Kwanza miaka miwili nyuma walikuwa hawakatizi pua zao zinazonuka mbele ya Dar when it comes to skyscrapers, ni hivi juzi juzi tu baada ya msaada wa wachina ndiyo wameanza kuongelea skyscrapers dhidi ya Dar
Ni kweli bro, Ila dawa yao ipo wacha tumalize miradi ya kimkakati kwanza I'm pretty suretutazikaanga hizi mbwa vibaya mno
 
Wanaongea sana hawa jamaa 😂😂 muda mwingine inabidi tuwapige tu, kupata expressway moja ya mchina kuna wazuzua kwasababu Dar hakuna basi wanajua miji yote Afrika ipo hovyo 😂😂
 
Wanaongea sana hawa jamaa [emoji23][emoji23] muda mwingine inabidi tuwapige tu, kupata expressway moja ya mchina kuna wazuzua kwasababu Dar hakuna basi wanajua miji yote Afrika ipo hovyo [emoji23][emoji23]
Dar ipo, kwn expressway c flyover iliyoongezwa urefu tu? Alafu ka expressway kenyewe sehemu iliyoinuka ambayo kimsingi ni flyover ni only 8km.
 
Ni msahaulifu alafu pia anapenda kuongea vitu ambavyo kwake ni oversize, kesho atakwambia "haaa kumbe Tanzania mmejenga daraja refu hivi la Tanzanite, aisee hongereni sn nilijua bado tu mna Kigamboni cable stayed bridge, hongera jirani".
ni chizi huyo ni wale wale tu,na ukifuatilia indeep report za kenya 90% ni overated fake report zisizo na uhalisia

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
This guy going to be a mogul

Kama ameshaanza kupokea tender za kifisadi za kunyaland basi he got the guts

Tulishawatala miaka miwili sasa, kuanzia raw materials mpk finished goods now ni mavazi, hata mlie ila huo ndiyo ukweli.

Cc Teargas [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
This guy going to be a mogul

Kama ameshaanza kupokea tender za kifisadi za kunyaland basi he got the guts

Walivyo na roho mby subiri uone twitter cku mbili zijazo kitawaka, ingekuwa US wala usingewasikia ila ni kwasababu Tz ndio tunakwenda kuwavisha wanajeshi wao basi kilio chake machozi hayatotosha hata kwenye tank ya truck ngoja muone[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakiongozwa na Yule chizi wao omondi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…