Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Madam slum ndani ya Narobi sio kibra tu . Here is the list of them fucking slums in your City 👇The map below is of Karen and Kibera. Kibera is the largest slum in Kenya. The part circled in blue is Karen. The part circled in red is Kibera. Within Kibera, the Northern part with green stripes is actually not a slum, it is the section of Kibera known as Karanja, Ayany and Olympic - though part of Kibera, those sections have well planned decent houses as shown in the next photo.. Only the lower part is a slum. There is no other slum in the rest of the viewable section of the image. Do your math and make your own unbiased opini
Ayany Estate, Kibera
View attachment 2139748
Dar nzima unaijua wewe.? Hapo nilichoonyesha ni BRT, bridge, bus terminal and viaduct ya reli yetu ya umeme.. sasa kama NAIROBI inafika hizo level ndio uje hapa tuongee, lakini kama bado mnajisifia kwa viaduct ya barabara ya kaiwaida tu, basi ukae kwa kutuliaKa expressway kanakutoa joto ivo hadi unapost dar-is-a-slum mzima [emoji23][emoji23]
JKIA haina escalators watajua wapi?
Yaani unapost picha ya escalator 2022 na eti unaringa mko nayo 🤣🤣🤣 Hizi vitu watoto huchezea kwa Supermarket huku Kenya
JKIA iko na escalators, before the fire and after the fireJKIA haina escalators watajua wapi?
sijaona MSE Wall ya matofali! huyu kijana anawatoa engineers wote wa Kunyaland na design yake!Kenya injinia huyu hawasaidie kuchora vitu vyenye uboraView attachment 2139774
We mpuuzi elewa alichosema mtoa post, au hauji kiswahili.?Yaani unapost picha ya escalator 2022 na eti unaringa mko nayo 🤣🤣🤣 Hizi vitu watoto huchezea kwa Supermarket huku Kenya
JKIA iko na escalators, before the fire and after the fire
Old Terminal
NewTerminal
Sisi sio kama nyie kulamba mabeberu kendeWatanzania ni wajinga. Mngelamba miguu za Wazungu na kukemea Russia ili wazungu waje wawekeze kwenye gas yenu. Wazungu wanataka kuwacha kutegemea gas ya Russia na wanatafuta mahali pa kuwekeza. Nyie mngewacha akili za ujamaa za kusupport Russia na muweke biashara mbele sasa hivi mngekuwa mbali.
Anza na za kiberakwani huna habari Wakenya kama london,tunakuja kuwaasaidia kuupgrade slum area yenu 3\4 darislum
kibera is already on a huge upgrade recently,our next stop is TandaleAnza na za kibera
Tutajenga kwa pesa za ndani kaa utulie hivyohivyo.Sisi ni nyang'au huwa tunapenda pesa na biashara. Ndio maana nawashang'aa nyie kutupa fursa hii ya gesi. Sielewi kwa nini mlikataa kuafikiana na mabeberu mwaka wa 2016.
Alafu umbeya wa Diamond watauandika wapi?Mbona haya mambo hua siasikii kwenye media zetu?
Expressway inawatoa joto kweli kama inashinda dar-is-a-slum nzimaDar nzima unaijua wewe.? Hapo nilichoonyesha ni BRT, bridge, bus terminal and viaduct ya reli yetu ya umeme.. sasa kama NAIROBI inafika hizo level ndio uje hapa tuongee, lakini kama bado mnajisifia kwa viaduct ya barabara ya kaiwaida tu, basi ukae kwa kutulia
Hizi media zetu hizi mkuu!?Mbona haya mambo hua siasikii kwenye media zetu?
Over 60% ya Nairobians are slum dwellers, tafakari.Wacha kuongea uongo wewe, kwahyo hizo slums hapo Narobi ni 6% .? na zenyewe tu zinafika 20, tena they ar larger than any of your middle class and posh areas..