Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tofali haoikwepeki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tofali km tofali
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Hii software ya ku trace source of pictures ni mbaya sana kwa jirani [emoji23][emoji23] mtawaua, mana wao ni waongo wanaiba picha tu
Wapi nimesema hapo kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Emu nambie hapo ni kenya ya wapi mzee...
Yani nimewachapa leo mpka mnahaha, hapa huwezi pata pa kutokea..
Alafu acha ushamba, eti "software ya ku trace"[emoji1787][emoji1787]
 
Kwanini usitumie picha ya kenya unatumia picha za wenyewe.? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Issue ya msingi ni tofali mmewekewa [emoji23][emoji23][emoji23] Flyover ya mchongo .. ni mwendo wa michongo tu uko kwenu
Acha nikupe tena maelezo uelewe[emoji1787][emoji1787]
Kichapo cha mbwakoko msikitini, walai leo mtanichukia..
Emu soma kidogo basi, tz watamwaga zege kutoka chini..yani nimecheka kizembe sana leo
 
Acha nikupe tena maelezo uelewe[emoji1787][emoji1787]
Kichapo cha mbwakoko msikitini, walai leo mtanichukia..
Emu soma kidogo basi, tz watamwaga zege kutoka chini..yani nimecheka kizembe sana leoView attachment 2117611
"Kumbe sio kobe ni Kasa usidanganywe wanafanana" hii ni kutaka kulinganisha Kobe na Kasa .. Kasa πŸ‘‡vs Kobe πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ usidanganywe, Kobe na Kasa wanafanana tu, but them never the same
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…