Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tukupongeze kwa kujua na kukubali ukweli huu, "Kiswahili is a Tanzanian baby", hata japo Kenya Kiswahili kimeanza kuheshimika baada ya Tanzania kukipa nguvu na heshima duniani, kabla ya hapo mlikua mkikidharau Sana japokua ni lugha yenu ya taifa.
 
Bora walivyokopa as Bilateral agreements maana ile mikopo ya WB ya awali is somehow biting
How biting?...France wamekuwa wakitaka kuikopesha Gov tokea 2019 huko...mikopo ya WB is among the best mikopo a country can get ..cause ina intrest rate ndogo na unalipa hata 30 years..plus tutaenda kukopa tena wB for New .Jangwani Bridge .na Msimbazi River Basin project
 
The national debt is now at $37B, I wonder why deni zinaongezeka yet tunatumia pesa za ndani to finance our projects🤣🤣

Tuko mbali sana na msitari wa nusu,tuta borrow zaidi kwa ajili ya miradi.

Hadi tuje kifikiae threshold tutakuwa tumemaliza miradi yote ya muhimu..

Wakati unakenua usisahau kwamba Kunyaland iko kwenye redlist 😂😂😂😂😁😁😁



 
Ya awali wakati BRT na ULGSP inaanza ilikuwa mikopo ya masharti yasiyoridhisha unless wawe wamerekebisha terms kwa sasa..
 
Usisahau hata South Africa , ramaphosa alishaingia kwenye somo la late Magufuli . Na walianza kusoma kiswahili . And Libya as well . Soon itakua lugha ya Africa . Mtabaki nyinyi na shengi yenu
 
Ya awali wakati BRT na ULGSP inaanza ilikuwa mikopo ya masharti yasiyoridhisha unless wawe wamerekebisha terms kwa sasa..
Okay sijawai kuchunguza kiudnani..kwahyo kuhsu phase3 na 4 inakuaje maana najua tulishafika makubaliano..na sina doubt na BRt projects ni miradi ambayo pesa inarudi mapema sana
 
Tunahitaji financier wa phase 6 mapema mchakato uanze

Phase 5 imepata finance 2022 baada ya mchakato ulioanza 2020, phase 6 mchakato uanze mapema

 
Tunahitaji financier wa phase 6 mapema mchakato uanze

Phase 5 imepata finance 2022 baada ya mchakato ulioanza 2020, phase 6 mchakato uanze mapema

View attachment 2116875
Yeah ..ni kweli..kuna kitu kama kinaniambia itakuwa Africa Development Bank kama phase 2 ....Ila bado Sielewi kwann Phase 3 na 4 hazijaanza cobstruction na hela zipo
 
Do you know your position in the democracy index!!?
The last time I checked Kenya was 94 and Tz 92...both belonging to the very same category...But as the saying goes even among the equals there are those who are more equal than others....Bottom line.. putting aside statistics and researches lets look at this thing with what is happening on the ground. Have you ever heard of people in Kenya being shot at because they have a different opinion like tundu lissu?
Or someone going to jail for posting that someone else is in hospital somewhere?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…