Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

leteni streets za dar


So hakuna picha ina capture dar nzima ama ?

Sio wewe umetusumbua huku with the "Kenya inakopa tunajenga na pesa zetu" narrative??! Nini kabadilika
Haya chukua hiyo
And this is drone view of small part of dar es salaam cbd
 
Alafu mje mfananishe kisumu na dodoma 😅
 
pata picha mradi wa Dodoma outer ring highway wa +110 km unge-cost how much hapo Kunyaland?
Wakenya kujeni muone nchi yenye gdp kubwa na mipango kambambe tunaacha nafasi katikati kwa ajili ya brt nyinyi ring road mmejenga tuu kiholelaholela alafu baadae uko mbeleni muanze kuchora lami tena kwaajili ya brt 😅
 
😀 Wabongo watajua tu wewe ni mkenya, Kunyoosha Kiswahili ni ngumu sana kwa mgeni hususani wakenya wenye accent za kulegeza midomo kizezetazezeta ndio kabisa hutaweza
kiswahili gani nyie wabongolee mtatufunza sisi.. mwanzo kiswahili chose, kilianzia kenya, around lamu, kilifi, mvita (mombasa), kwale, hola, etc.. ni nyie waTz ndo mlifanya kuiba lugha yetu
 
ati hii structure isiyozidi US$ 500 mln (true cost) inaenda kui-cost Kunyaland US$ 1 bln! Siku zote wajinga ni wali wao!
MY friend hakuna hata senti moja kenya imetoa...bichi kidimbwi.....mchina alivyo ona kenya inakua kwa haraka akaamua....kujenga hii bara bara mwenyewe....atatoza kodi kwa miaka 27, na baada ya miaka 27 kenya itaichukua hiyo barabara na kuwa free...huu mchoro ulichorwa na raila kama engineer enzi zake na kibaki...ni project ya kitambo ila tulikuwa tunamalizia zingine...na bado nyingi zaja.
Kwa mradi huu wa nairobi express way serikali wala mkenya yeyote haja gharamika..huu mradi unaitwa PPP yaani public private partnership.

HUU mradi unafaida mkubwa sana kwa wakenya....Nilishasema hapo mbeleni kwa uzi huu lakini kawaida yenu nyinyi bichi vidimbwi ni slo learners.

nitarudia tena;
  1. ujenzi wa huu mradi unatekelezwa na wakenya chini ya uongozi wa mchina....faida kwa wakenya
  2. huu mradi ukiisha.. utaandika wakenya wengi zaidi. faida kwa wakenya.
  3. watakao lipia ni yeyote atakayetumia hii bara bara tuwala sio wakenya wote au serikali...na ni hela kidogo tu around 100 ksh.. Na nina jua kuna wa TZ kadha wata washwa waje kuitumia walipie pia😊
  4. ushuru utakao tozwa hapo utakuwa unafaidisha wakenya.
  5. Hadhi ya kenya imezidi kuenda juu kutokana na barabara hii.
  6. baada ya 27 years mchina ataikabidhi bara bara hii kwa serikali na kuenda zake hata kama faida yao haijarudi yote....
  7. hii ni risk kubwa sana kwa mchina lakini kwa imani mchina alio nao kwa nchi ya kenya anaamini faida yake itakuwa imerudi kabla ya 27 years.
Kwa hivyo eleweni mambo nyie wa tanzanania kabla ya kukurupuka na maneno...wakenya ni werevu na hatuwezi fanya miradi kwa njia za kipuzi kama tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…