Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We usiwahusishe wazee wetu Mwinyi na Mkapa kwenye upumbavu wa mkwere. Mwinyi alijitahidi kiasi chake na mkapa pia. Fraud mkwere ndio ugonjwa aliokua akiutibu Magu ile tunapata nafuu akapewa sumu. Hivi unajua Salma alipata 1-7 form six? na hakua akipiga msuli bali kuzurura huku na kule
 
😀 Wabongo watajua tu wewe ni mkenya, Kunyoosha Kiswahili ni ngumu sana kwa mgeni hususani wakenya wenye accent za kulegeza midomo kizezetazezeta ndio kabisa hutaweza
Ni sawa bichi kidimbwi...kwa kiswahili najua mmetushinda...tena kwa mbali sana aisee..si unajua tena sisi wakenya huwa watu wa true ..tunaposhindwa huwa tunakubali hands down..na tz mjifunze kuiga mfano huo....tukisema kenya uchumi mkubwa..kubali....tuko juu yenu ...kubalini mwache ubishi....barbara zetu ziko bora....kubali....shule zetu ziko juu zaidi...kubali etc
 
Ugonjwa wowote unaua kwa hiyo hata korona lazima watu wafe ,ila kwa tz korona ni kagonjwa kadogo vyakula vyetu tunakula ni high quality, kutoka shambani to mdomoni ,wenginwanaokufa na korona ni watu wa kununua vyakula super market
wewe sasa ushaanza kufikiria kama wale viongozi wenu wa ...hakuna corona..maski zitawaua......njooni tujifukizie..
 
Jamaa wamelishwa matango pori km kenya hakulimwi[emoji1787][emoji1787]
Haaaa kichwa mbuzi komora096 ,wewe wenzako wanesha gundua kuwa ni picha feki hadi mtoa post kauliza app ya kutrace picha ni gani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…