Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa port ipi mzee[emoji1787][emoji1787]waumwa ee, wajua height ya ndege au waiskia tu...
Underpass sio za kupitisha mindege mzee
 
Jamaa wamelishwa matango pori km kenya hakulimwi[emoji1787][emoji1787]
 
hiv ukiwa una range rover bovubovu inacost ngap kurevonate kuwa kama hayo?
Range rover kubwa bovu bovu, hayo hiaga unayakuta sehemu gani mzee[emoji1787][emoji1787]
Manake mie sijakumbana nayo katika pilka pilka zangu ninapokatiza mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…