Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nenda ukalilie twitter [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Rais ni Watz wewe anakuwashia nn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hii yote inaonesha jinsi gani aliwaumiza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna Rais Wakenya wanamchukia kama Magufuli, hii inamaanisha nn? Inamaanisha ndiye Rais bora kuwahi kutokea Tz, wahenga wanasema ukiona adui anakusifia ujue kwamba kuna Mahala unakosea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hii ndio landcruser C300 GR sport series SUV 2022 ya kwanza east and central africa

na kama ipo kenya naomba nioneshwe sasa hvi 😂😂😂😂

bongo watu wanahela aisee🙌🙌🙌

hzi gari mara nyingi wananunua matajiri wa nchi za kiarabu


Your browser is not able to display this video.
 
Aisee hawana bado, nilikua huko 3 weeks ago, Bongo is miles ahead in terms ya dollar millionaires.
 
Magufuli hajafanya tutambe that is akqward statement from you,alot was done before him,tunazungumza hospitali zilikuwepo before him,tunazungumza poverty level it was reduced before him,tunazungumza bridges zimekuwepo before as president,tunazungumza BRT imefanyika akiwa bado sio Rais,Tunazungumza barabara za lami zilijengwa akihudumu kama minister.Majengo marefu kama TPA,PSSF twin towers,project kama Morroco square,Dege,Eco AVIC, universities vimwkuwepo before him.Hapa tulipo ni kazi ya viongozi wakuu wote na watanzania not kwa ajili ya JPM,today JPM is not there lakini tunazumza flyover mbezi,Daraja Jangwani.dual carriage Arusha holili,Igawa-tunduma.Yes kuna vitu vizuri vimefanyika wakati wake kama kuanza SGR,Tanzanite bridge(though plan na fedha vilitafutwa na JK na kilichobaki ni kuanza ujenzi) na ujenzi Nyerere hydro power,kigongo busisi ambayo ni maamuzi yake binafsi.Hivyo TZ ni kubwa kuliko mtu
 
Hawa wote hawajajua historia ya Ngorongoro,moja upekee wa Ngorongoro ni wanyama pori kuishi na binadamu wanakua kama babalevo,walipswa kua na mtu wa hifadhi hicho sio kipindi cha michezo in ecologia

Hawajiulizi mbona kuna picha ya ngombe kwenye logo ya Mamlaka ya Uhifadhi bonde la Ngorongoro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…