COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
I can be a Chelsea die hard fan...does that apply to your statementIs you. (a person who strongly opposes change or who continues to support something in spite of opposition.)
Madam uwezo wako wa kuelewa mambo hautoshani na huu Uzi.Hayo majengo ni ya kwenu Kwan? Binadam bwana!!!!! Mnaweza kupoteza muda kubishana wakat jengo lako halipo .
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati Marais wengine kama Mkikuyu UK wanapanda ndege kwenda ulaya Kupiga selfie na Kina trump na kushare Instagram ili kupata Likes nyingi zaidi, Museven na JPM hawana muda wa kwenda ulaya badala yake museveni unasafiri kukutana na Rais mchapakazi JPM kuzindua mradi wa mabilioni ambao nchi Kama Kenya haijawahi shuhudia FDI kubwa namna hii tangu kuumbwa kwake..Twende kazi
Rais @KagutaMuseveni akipokelewa na Makamu wa Rais @SuluhuSamia kwa ajili ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Madam uwezo wako wa kuelewa mambo hautoshani na huu Uzi.
BTW, huu Uzi umeona una Replies na Viewers wangapi hadi sasa?
Umekurupuka mama, ni bora urudi kwenye majukwaa ya mapenzi na mahusiano, huku umeingia choo cha Kiume.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Wakati Marais wengine kama Mkikuyu UK wanapanda ndege kwenda ulaya Kupiga selfie na Kina trump na kushare Instagram ili kupata Likes nyingi zaidi, Museven na JPM hawana muda wa kwenda ulaya badala yake museveni unasafiri kukutana na Rais mchapakazi JPM kuzindua mradi wa mabilioni ambao nchi Kama Kenya haijawahi shuhudia FDI kubwa namna hii tangu kuumbwa kwake..
Huu mradi utatengeneza Ajira za Kumwaga kwa Vijana wetu, Utafufua Bandari ya Tanga, utatransform business atmosphere ya Tanga completely, na kubadili kabisa mwelekeo wa uchumi Wa Uganda.
Hapo ukiongeza na Ile East Africa's Largest Cement Factory naona Tanga inaipiku Mombasa mazima.
Ni Bahati Kuzaliwa Tanzania.
The 2 towers
sent from iPhone 7
August 4th.
happy international beer day.
leo ni siku ya maalum ya kimataifa ya "gambe".
I like how you console yourselves. ...lol.EABL ndio kampuni ya pombe hapa East Africa.....hizo zenu maybe zishindane na keroche breweries
Umepotea hiki kijiwe hakikufai,kama huelewi vitu unahangaika navyo cha nini. ...Hayo majengo ni ya kwenu Kwan? Binadam bwana!!!!! Mnaweza kupoteza muda kubishana wakat jengo lako halipo .
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha lol you think SNO ice cream ni ya Tz? Think twice SNO Ice cream iko mpaka nairobiMOST LOVE ICE CREAM IN TOWN ?, How about AZAM ICE CREAM?
Sno Cream | The Ice cream parlour. by indaressalaam, on Flickr
MOST LOVE ICE CREAM IN TOWN ?, How about AZAM ICE CREAM?
Sno Cream | The Ice cream parlour. by indaressalaam, on Flickr