Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tz imebobea sana katika hii fani ya usanii na usanaa. kila kitu mwakemwake babaake!
 
Mbona hizi gorofa zote no za udongo, gorofa hazina quality kabisa
hio hoja tumezoea. mtzdi hawezi kosa tu cha kusema. mara, 'oo.. barabara zenu ni unmarked', ilhali tz yenyewe hakuna barabara na interchange kama hizo. mara oo.., sijui nn.. tumewazoea hawa watu
 
Tz sio kenya we kizuu, Tanzania inaweza badilika kwa sekunde sababu tuko na projects ambazo zikifanyiwa kazi wala hatutapoteza mda na nyie fukara, mfano tuna mradi wa gesi kusini wa Tz sio chini ya 30 bil usd,(upo kwenye mazungumzo),tuna bwawa la nyerere u/c, SGR, mchuchuma na liganga kwa uchache nakuakikishia vikifanyiwa kazi sisi sio level ya kupigizana kelel na nyie kabisa
 
uhuru is overworking
nye nye nye sisi GDP ushuzi
So unadhani pesa ndo inaleta mvua? There is a huge drought in the northern side and drustic measures are being taken Tanzania kuwe Na drought am not sure you will sustain shukueu Mungu your lands are fertile in most parts of the country half of Kenya is a dessert
 
uhuru is overworking
nye nye nye sisi GDP ushuzi
And this not a topic to joke about this are real humans suffering.... Even if it's a battle alittle bit of humanity goes a long way.... The said pastrolist have lost there cows goats sheeps in 1000 due to the drought and themselves are suffering wount be okay to make a joke out of it ... In this I too blame Kenyan Government. There are projects being undertaken way less important than creating a huge water network and irrigation schemes in the north the way libya was doing before there civil wars.. this not acceptable in any way anyone looks at it. As The best 007 always says hii Wacha nikalilie tweeter the government has to know this is wrong... I know they dint create the drought but there are other measures to avoid people there suffering
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…