Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

There is no white Kenyan unless he/she is an immigrant

sent from iPhone 7
 
HABARI ZENU WAKENYA...?....
kidogo tulitazame jiji lenu la nairobi wazee wa infrastructure bora duniani kuliko nchi yeyote ile


AT NAIROBI FIRST BEAUTY CITY OF THE WORLD
 
Nairobi sio rika ya Dar is slum, usitake tuweke picha za mvua dar!
Dar is Slum in floods. This is Just a preview! Ikiamua twende hivyo utaaibika
 
naomba wakenya wafahamu thread yetu ni moja ya thread inayotembelewa sana na watu.

ina namba kubwa ya viewers na kila siku namba inazidi kupanda.hii yote ni kwasababu ya mvuto wa kipekee wa thread.

haipendezi kila siku tuwe tunarudia picha za aina moja za majengo ya kenyatta,moi avenue au somora avenues na zile za magorofa ya upanga.

kwa upande wetu,kwa kuwa tz ina vitu vingi sana vya kuvutia vya kuionyesha dunia, tunatumia fursa hii kuweka picha zozote za nje ya dar ili wanaotembea thread hii wapate kujionea lakini ili iwe inasaidia kuichangamsha thread hatimaye ivutie viewers wengi zaidi.

wakenya bakini ku-repost picha za magorofa ya cbd pekee.[emoji23] [emoji23]
 
mnatia haibu kenya hadi juu kwenye vipisi vyenu vya fly over ni mafutiko si bora ingekuwa barabara ya chini tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…