are this cable stayed bridge ??😆😆😆 hzi bridge zimetapataa tanzania nzima ww unaongea kitu ganiNow let`s do bridges.
1. Mteza Bridge 1.4km
View attachment 2077890
View attachment 2077892
2. Mwache Bridge 600m
View attachment 2077894
View attachment 2077895
3. Makupa Bridge 457m
View attachment 2077897
nakwambia zanzibar ipo miaka kenda na ishafanya transhipment mpaka za south africa 😂😂😂😂Zanzibar haiumii meli za transhipment acha uongo😂😂😂
hio ndio interchange yani bila aibu kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka sanaMombasa ndio dawa ya Dar, soon Dar itabaki inashindana na Nakuru, Kisumu and Eldoret🤣🤣
Mombasa has four bridges, Dar has three.🤣🤣are this cable stayed bridge ??😆😆😆 hzi bridge zimetapataa tanzania nzima ww unaongea kitu gani
😂😂😂😂 leo hiii dar mwaka jana imepokea 20m tons na lengo la upanuzi ni over 30m tons na upanuzi uko mwishoniUkiunganisha bandari ya Dar, Tanga, Zanzibar na Mtwara bado hata haifiki nusu ya Mombasa port🤣🤣
cable stayed bridge mombasa ipo???🤣🤣🤣 unatuonesha vibridge ambavyo hata tanga tu vimejaaMombasa has four bridges, Dar has three.🤣🤣
Nashuku hujui maana ya transhipment. Dar port ndio haifanyi transhipment, Sasa Zanzibar itaanzaje kufanya transhipment?🤣🤣🤣nakwambia zanzibar ipo miaka kenda na ishafanya transhipment mpaka za south africa 😂😂😂😂
Ukiprove to us that 2021 Dar handled 20m tonnes nafunga account ya JF🤣🤣🤣😂😂😂😂 leo hiii dar mwaka jana imepokea 20m tons na lengo la upanuzi ni over 30m tons na upanuzi uko mwishoni
tanga iko under expansion pamoja na mtwara at once na zanzibar ujenzi wa bandari mpya umeanza sijui mutaeleza nn
unaamua kutupostia majengo mengine tuamini ni hio kweli?? as if mm sikujui ww 😂Render indeed. Projects za Kenya zitakupea heart attack kijana🤣🤣🤣
View attachment 2077945
View attachment 2077947
View attachment 2077950
nyinyi munayo??😂😂😂SADC.
Ukienda kwa infrastructure ranking hurapata place imeandikwa cable stayed bridge 🤣🤣🤣cable stayed bridge mombasa ipo???🤣🤣🤣 unatuonesha vibridge ambavyo hata tanga tu vimejaa
pamoja na barabara za kuingia na kutoka nazo ni lanes ???🤣🤣🤣 so waliojenga thika ni wajinga kusema 8lanes
Sasa unajua Kenya kutuliko? Haya basi tuambie hiyo ni jengo gani.unaamua kutupostia majengo mengine tuamini ni hio kweli?? as if mm sikujui ww 😂
gharama za cable stayed unazijua ww au unafkiri ni kama kula githeriUkienda kwa infrastructure ranking hurapata place imeandikwa cable stayed bridge 🤣🤣🤣
mm nakwambia ww tafuta mtu wakudanganya mm huniwezi ntakuaibisha na najua unanijua sana mzee wa mapesa🤣🤣Sasa unajua Kenya kutuliko? Haya basi tuambie hiyo ni jengo gani.
So it's now Mombasa Vs Dar and Tanga? Kweli Mombasa inakunyima usingizi.gharama za cable stayed unazijua ww au unafkiri ni kama kula githeri
hata tanga zinajengwa cable stayed 😂😂👇
Tuambie hiyo nyumba nimeweka ni nyumba gani sababu wewe huezidanganywa.mm nakwambia ww tafuta mtu wakudanganya mm huniwezi ntakuaibisha na najua unanijua sana mzee wa mapesa🤣🤣
unatuonesha bridge hzo hata tanga zimejaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣So it's now Mombasa Vs Dar and Tanga? Kweli Mombasa inakunyima usingizi.
The League is between Mombasa and Dar. Mbona Sasa unahangaika na Tanzania nzima?🤣🤣leo mkenya anafananisha bridges tanzania na kenya😂😂😂😂 hvi tupo serious kweli