Hii Kenya bwana. Yaani wanasimamisha bwawa liko karibu kukamilika na sisi hatuna habari?miradi zingine hatujui hadi kuzihusu
karimenu dam kiambu(24b project)
View attachment 2072480View attachment 2072481View attachment 2072482View attachment 2072484
tuseme kenya wanatumia changaa bado[emoji1787]
Hahaha. Hii ya Kenya kuwa na Gdp kubwa kuwashinda huwa inawauma kabisa. Huwa mnatokwa na povu vilivyo ila ndio ukweli mchungu huo, muumeze muuteme chaguo ni lenu.GDP ya makaratasi na uharo 🤣🤣🤣🤣
show us plz???😂😂😂
Thanks.. najaribu kuona vile nitapost info ya hizo terminals za Mombasa but bado Nina challenge... how do you upload pics, links or edits.Karibu Born sailor.
Jiandaeni kisaikolojia kuwa mikia.Msije sema hatukuwaambia 😂😂Hahaha. Hii ya Kenya kuwa na Gdp kubwa kuwashinda huwa inawauma kabisa. Huwa mnatokwa na povu vilivyo ila ndio ukweli mchungu huo, muumeze muuteme chaguo ni lenu.
Maendeleo ya China hayakubadilika kwa generation mmoja, misingi yake ilianza toka wakati wa Mao ('50's). Kwanza aliiunganisha nchi kuwa moja, alidhibiti wala rushwa, na wahujumu uchumi. Aliwawezesha wakulima wadogowadogo kupata ardhi na nchi kuweza kujitosheleza kwa chakula (watu 700mil at the time). Baada ya hapo wakaanzisha viwanda vidogo vidogo na hivyo vikawa viwanda vikubwa na kufika walipo sasa. Hiyo ni natural exponential growth.Not really, it can happen soon, see 👇 how china changed in merely one generation, kuna sehemu they show muonekano wa a certain city in 80s no vehicles ni bicycle na mikokoteni.., then today its a bustling metropolis.., poverty reduced significantly.., some place in just five years kumebadilika exponentially based on an eye witness.., (exposing propaganda vs reality)., many view china through the lense of western media and political rhetoric..,
Watch this clip ukipata wakati, download it in your computer u watch it when relaxed..,
since 2010 but as of now Kenya is double tanganyika's economy.....Jiandaeni kisaikolojia kuwa mikia.Msije sema hatukuwaambia [emoji23][emoji23]
View attachment 2072537
View attachment 2072538
View attachment 2072539
View attachment 2072540
View attachment 2072541
View attachment 2072542
View attachment 2072543
View attachment 2072544
Any country's strength lies in its GDP......whether you deny,dismiss, kill yourself or hang.....it will remain so.......We still have the biggest Gdp usisahau hiyo.
Sio mimi nimeandika,ni U.S hao,,kwani unadhani Uchumi wa Tzn umesimama?since 2010 but as of now Kenya is double tanganyika's economy.....
Yet you flood our borders looking for cash for your produce...lol.I like how you hate Kenya but can't get over us........You know we have lots of cash...You fool Kunyans, another food donation! You fail to meet your basic needs then you lecture us on GDP.
Whats the update on Thwake dam...?Karibu Born sailor.
ituume vp wakat sisi tunawajua vzr mpaka chupi zenu za ndani labda nigeria ndio utawauma kwasababu hawaajui nyinyi 🤣🤣Hahaha. Hii ya Kenya kuwa na Gdp kubwa kuwashinda huwa inawauma kabisa. Huwa mnatokwa na povu vilivyo ila ndio ukweli mchungu huo, muumeze muuteme chaguo ni lenu.
ww usifanye watu wapuuzi sana humu au ukafkiri labda mombasa sisi hatuijui hebu jaribu kupost uone moto wake sasa🤣🤣🤣Thanks.. najaribu kuona vile nitapost info ya hizo terminals za Mombasa but bado Nina challenge... how do you upload pics, links or edits.
gdp tanganyika 52 billion dollars mangala zanzibar imewasaidia mkafikia 60ituume vp wakat sisi tunawajua vzr mpaka chupi zenu za ndani labda nigeria ndio utawauma kwasababu hawaajui nyinyi [emoji1787][emoji1787]
kipevu oil terminal imekusumbua sana...unatumia nguvu nyingi sanaww usifanye watu wapuuzi sana humu au ukafkiri labda mombasa sisi hatuijui hebu jaribu kupost uone moto wake sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
GDP yenye 9trillion ksh madeni😂😂😂😂gdp tanganyika 52 billion dollars mangala zanzibar imewasaidia mkafikia 60
nimecheka sana niyakawaida kwenye mambo ya fuel tuko mbali tulianza kitambo sana 😂kipevu oil terminal imekusumbua sana...unatumia nguvu nyingi sana
GDP yenyewe ndio hii🤣🤣🤣🤣Hahaha. Hii ya Kenya kuwa na Gdp kubwa kuwashinda huwa inawauma kabisa. Huwa mnatokwa na povu vilivyo ila ndio ukweli mchungu huo, muumeze muuteme chaguo ni lenu.
I think you know the gist.......why would you need much fuel yet the ratio of cars to people in tanganyika is 7 cars per 1000 people.nimecheka sana niyakawaida kwenye mambo ya fuel tuko mbali tulianza kitambo sana [emoji23]
ndivo mama ngina alivowadanganya au sio😂😂😂😂😂 munadhani hii ni ile tz ya 90sI think you know the gist.......why would you need much fuel yet the ratio of cars to people in tanganyika is 7 cars per 1000 people.