Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna kitu huwa inafurahisha kama mtanzania kukwamilia report outdated. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo report ilikuwa 2017, hivi unadhani unaweza kubadilisha report ya $3bn kwa miaka 3? Itawachukua muda mrefu sana.
 
Ebu tuonyeshe ni nini mjenga Dar from 2016 to 2021 tucheke kidogo.[emoji23][emoji23][emoji23]
Waulize WB[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
WB[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mm kila siku huwa nasema vile vi apartments vyao vya upande upande ni cheap with vibati vyekundu juu [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo report ilikuwa 2017, hivi unadhani unaweza kubadilisha report ya $3bn kwa miaka 3? Itawachukua muda mrefu sana.
GTC pekee ni $400M. Hiyo bado sijaeka
Britam,
UAP,
Prism,
CBK,
Pariament Tower
Hazina,
Upperhill Chambers
Le`mac
88 Nairobi
UoN Tower
KCB Tower
Altura
Jevanjee
River Estate
TDB Bank
eLITE TOWER
Ngara affordable houses
Pangani affordable houses

And many other more that I can`t remember.
 
Hivo ndivyo wakuanga, hata Expressway and 88 Nairobi walikuwa wanasema ni renders even after constrution ilishaanza. Baadaye wakishakubali watakuja na excuses ati ni hizo ni nyumba za wazungu😂😂
Lazy bongolalas hawakosangi vijisababu
 
[emoji116][emoji205][emoji116][emoji205][emoji116][emoji205][emoji116][emoji205]View attachment 2057395

UKISIKIA KITU KINAITWA FLYTOILETS NDIYO HII SASA
Unajua kitu kinaitwa to easy traffic flow mzee[emoji1787][emoji1787]
Mshamba sana wewe, sasa ilikua waeke through hapo ndio ingelikua wamefanya nn sasa km sio kuweka msongamano hapo kw hyo junction

Chini pia nkm kuna reli alafu ni pabovu sio friendly sana kupita magari, hakuna vyenye kungeliwekwa express mzee..
Yani mtu we sio engineer basi unajitia ujuaji, chukua hyo kitu uka post kw ukurasa wa ma engineer alafu uone vile utakula za usi
 
Unajua kitu kinaitwa to easy traffic flow mzee[emoji1787][emoji1787]
Mshamba sana wewe, sasa ilikua waeke through hapo ndio ingelikua wamefanya nn sasa km sio kuweka msongamano hapo kw hyo junction
Kuna mkunya mwenzako kasema siyo kenya hapo karuka futi 100 sasa tuambie ni kenya au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…