THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Na JICA wametushauri vizuri sana kwny hiliSijui kwa nini tunasua kujenga outer ring roads yaani ukiangalia kwny budget ni moja tu ambayo kwny pipeline na inapangiwa pesa ndogo sana!!! bado kuna kama mbili zaidi moja proposed ikijumuisha na wilaya ya Kisarawe!!!!Tuko slow sana kwa hili!!!
Lakini huko nyuma kuko hivihuwezi kukuta nairobi kusafi hivi....
hii ni dar from the most urbanised nation east central africaView attachment 2052069View attachment 2052071View attachment 2052073View attachment 2052074View attachment 2052075View attachment 2052076View attachment 2052077View attachment 2052078View attachment 2052080
ushakutañab na mwarabu anagonga kisukuma mbaya....Sana kaka!!!ina maana haya magari yakipata alternative roads tu kadhaa foleni itapungua sana!!!
but all the top ten richest tanzanians are arabs and indians........
kuhusu usafi umepiga kimya kama hujaona vileLakini huko nyuma kuko hiviView attachment 2052190View attachment 2052191
In november when i was going on vacay i arrived in Mombasa at 3.30 am and construction was going on......i think it will have the earliest completion time.Kamwana must secure his legacy 😁😁😄Kuna mtu aliuliza makupa bridge progress 👇👇 ichoboy01 View attachment 2051846View attachment 2051847View attachment 2051848View attachment 2051849
Unajua dar yote ni slum?
huko ndio wana act kitimtim🤣🤣
Nyuma Kuna muharo wa Bata🤣🤣Lakini huko nyuma kuko hiviView attachment 2052190View attachment 2052191
Unaitisha back up 🤣🤣 pamabana nae mwenyewe.
We must secure the bag 💰💰In november when i was going on vacay i arrived in Mombasa at 3.30 am and construction was going on......i think it will have the earliest completion time.Kamwana must secure his legacy 😁😁😄
kabisa mkuu,tatizo bado hatujapata viongozi wanaopenda michezo in blood,hiv kama wanatafuta mikopo ili kujenga SGR, miradi ya maji.. viongozi hawawez kuomba mikopo kujenga sports infrastructure? ROI inaweza isiwe kubwa lkn kuwa na great sports infrastructure ina faida nying sana
.. kama wameweza kuomba more than $3b for either SGR or JNHPP.. hatuwez kuomba hata $700m tujenge Stadiums kubwa 3, International Swimming pool [emoji474] moja au mbili na Indoor arenas mbili and others.. hapa nimeorodhesha vitu saba assuming kila moja itacost at most $100m kwa $700m watakazoomba.. but I believe 700m can build more than seven mega sports infrastructure. na wachina kwenye miradi ya infrastructures ndo nadhan wako wepes kutoa hio mikopo
hii imekaa sawa sanaJamani mwenye muda hapa afungue thread tujadili kidogo swala la kongo kujiunga east Africa wazee maana ni kesho nadhan
Tanzashonde🤣🤣🤣🤣🤣
na hii mutaitaje 🤣🤣👇👇
White elephant, you don't have the demand🤣🤣🤣🤣