Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utaua watu ndugu. Huko kenya wanakula chakula cha kwenye picha na wanashiba maana wamezoea kupata taarifa za uongo.
naweka records sawa sawa.
najua hawapendi ila hakuna namna,mwisho wa siku lazima iwe inafahamika nani ni giant wa EA kwa uhakika wa chakula.

watakula magorofa ya CBD.
 
tourists enjoying their sport fishing activities in LDC (the fishing village).

Damn I hate fish, yaani the ocean is like another world mimi na samaki ziii, mara papa, mermaids, half human half snakes wanaishi huko chini, wacha nikimbishane na kuku, mbuzi, ngombe na pig
 
Damn I hate fish, yaani the ocean is like another world mimi na samaki ziii, mara papa, mermaids, half human half snakes wanaishi huko chini, wacha nikimbishane na kuku, mbuzi, ngombe na pig
ushamba wako na allergy yako kwa bahari na samaki usituletee sisi.

wewe ni mmasai wa kenya?.wamasai na bahari ni panya na paka.[emoji23]
 
Hahaha fishing village na technology ni kama maji na mafuta.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ushamba wako na allergy yako kwa bahari na samaki usituletee sisi.

wewe ni mmasai wa kenya?.wamasai na bahari ni panya na paka.[emoji23]

hio ushamba nimekubali nikonayo, let me live with it in the meantime see what I mean y the ocean creeps me out

 
Ati hii building design ni mbaya...



INTERIOR




Sijui ni macho ama ni kokosa kitu ya kusema ama ni ushamba

It looks like a giant Televisiรณn screen.

Ni ushamba, this building kwanza interior is very beautiful with its green theme
 
Kenya as you said 80%desert is one of the leading coffee exporter in Africa, unrivaled World's leasing exporter of black tea. Hio ni jangwa mnashinda mkisema
Hii ni data ya 2017๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Tatizo lako unapenda kujipa moyo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ